Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
makinikiaDuuuu aisee na mondi sijui inakuagaje,maana view million kwa wiki ni kawaida kabisaaa,sa sijui madem zakehua wanampa nn kilaakitoa mpya
Oh oo oo!!!
Andaa thread kaka maana hapa anazungumziwa romaDuuuu aisee na mondi sijui inakuagaje,maana view million kwa wiki ni kawaida kabisaaa,sa sijui madem zakehua wanampa nn kilaakitoa mpya
Duuuuuuh hapo ndio kajionyesha kuwa yeye wa kiwango gani. Kajishusha shuuuu. Kwani siku zote hakuwa anatoa! Ujinga wa kiwango cha flani hivii.Nimependa hapo @Mauasama anavyomtia ujinga mwenzie eti 'USISAHAU ILE YA KUCHUMA MCHICHA'...