Mke wa Roma atoa ahadi mubashara kwa mumewe

Mke wa Roma atoa ahadi mubashara kwa mumewe

Huyu ndiye alikuwa ana sifiwa sana humu hahahahaha....ana ropoka tuuu..
Kichwa maji tuu wa bongo movie...
Na hayo maneno angeli yasema Zari hakika pasinge likalika humu hahahahaha
 
Wanasema usifanye maamuzi ukiwa na furaha - - ndo hayoooo matokeo yake.
Sio tuu ukiwa na furaha tuu bali hata ukiwa na hasira sana...
Lakini kwenye hali zote mbili huonesha wazi muhusuka ni mtu wa namna gani.....
Kwa hiyo hizo ndizo akili na tabia za Mrs Roma za kweli zile zingine ilikuwa maigizo.
 
hiyo account inaongozwa na Roma mwenyewe. sina hakika kama hayo maneno kaandike mkewe
 
Nimejikuta naduwaa tu .....................😱😱😱😱😱😱
 
Roma na mkewe wote ni wasanii,hakuna jipya hapo.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Andaa thread kaka maana hapa anazungumziwa roma

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Na wewe andaa ya kunizungumziaaa,mwenzio view zimemyejuchua tu and it's first time to happen
 
Kwa hiyo mmewe akipata kitu kizuri Ndo huwa anampa style nzuri.
Ulimbukeni tu.
Siku akikosa kitu, si ataambualia kifo cha mende tena kwa kulazimishana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

I'm the queen of my own empire. [emoji182]
 
Back
Top Bottom