Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Andaa thread kaka maana hapa anazungumziwa roma
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Hii signature yako kiboko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andaa thread kaka maana hapa anazungumziwa roma
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
atatamani asingekuwa na simu karibu.Duuh ndio maana wanasema usipende kuongea/ kutoa ahadi ukiwa na furaha sana. Yaani huyo dada furaha imemzidi baada ya siku mbili tatu ataanza kujishangaa mwenyewe hivi hapa ndo niliandika nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio tuu ukiwa na furaha tuu bali hata ukiwa na hasira sana...Wanasema usifanye maamuzi ukiwa na furaha - - ndo hayoooo matokeo yake.
Andaa thread kaka maana hapa anazungumziwa roma
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Na wewe andaa ya kunizungumziaaa,mwenzio view zimemyejuchua tu and it's first time to happenAndaa thread kaka maana hapa anazungumziwa roma
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Wife material hawezi kusema maneno ya kijinga namna hiyo....maneno hayo yanasemwa na mianamke inayojiuza
Sent from my TV
Ila sio kuongea publicHaya mambo ya kawaida kwenye mahaba. Mwanamke ndio zawadi 'kubwa' anayompa jamaa yake akiwa na furaha kubwa baada ya kufanya jambo fulani. ttz labda iwe kupublicize.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifo cha mende ndio style nzuri ,hizo nyingine ujinga mtupuKwa hiyo mmewe akipata kitu kizuri Ndo huwa anampa style nzuri.
Ulimbukeni tu.
Siku akikosa kitu, si ataambualia kifo cha mende tena kwa kulazimishana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I'm the queen of my own empire. [emoji182]
Kifo cha mende yaonyesha umvivu katika mapenz hiyo nistyle ya mwisho kumalizia uchovu