Mke wa Sabaya adai askari wenye silaha waliwavamia

Mke wa Sabaya adai askari wenye silaha waliwavamia

"Tukiwa chumbani walikuja watu usiku, walikuwa wanagonga kwa nguvu sana na hawakusubiri kufunguliwa walitumia njia zao wakaingia ndani ilikuwa ni saa 10 jioni. Walivyoingia Lengai akauliza ni nini na ni nani nyie, wakajibu wakasema ni askari wakatuamuru tukae sehemu moja,
Which is which?
Ilikua usiku au ilikua saa 10 jioni?
 
My Take: Bwana ndogo anahangaika kweli kweli na hizi kesi zake mara baada ya mahakama kuthibisha ana kesi ya kujibu,nakumbuka wakati anaomba apunguziwe adhabu katika hukumu alidai hajaoa na anatarajiwa kufunga ndoa ana mchumba. Kumbe alikua na jiko tayari.’@“&€.

Ukipitia mahojiano ya mawakili na shahidi ambaye ndiye ‘mke wake’ yanatia sintofahamu lukuki utafikiri si mumewe ama kaokotwa tu kuja kuunga unga mahakamani.
Zile zile mbinu za MICHONGO za Sabaya alizowapa kina Kingai kimzibiti mzee Mbowe Hai na kwenye kesi waliotengeza, ndio hizo hizo anajaribu kuzitumia kujitetea.
MaCCM yote YAMELAANIWA.
 
Back
Top Bottom