pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Huyu alitakiwa kupigwa kwa mawe hadi afe hadharani naapa!Yule sio mke ni mchumba tu. Anajitoa mke ili Mahakama iwaonee huruma huyu amekula hela za ujambazi wa Sabaya shenzi kabisa nae wangemfunga kabisa.