Mke wa Sabaya adai askari wenye silaha waliwavamia

Yule sio mke ni mchumba tu
Mkuu amesema mahakamani kuwa ana cheti cha ndoa, na walifunga 2018. Anakuwaje mchumba tena? Kama sio kweli, anapaswa kuwekwa kwenye kikaango maana atakuwa anaidanganya mahakama.
 
Mkuu amesema mahakamani kuwa ana cheti cha ndoa, na walifunga 2018. Anakuwaje mchumba tena? Kama sio kweli, anapaswa kuwekwa kwenye kikaango maana atakuwa anaidanganya mahakama.
Basi alidanganya kwenye Ile kesi ya Arusha ya matumizi mabaya ya madaraka, alipokuwa anajitetea alisema yeye amelipa mahari na alipanga kufunga ndoa hivyo alikuwa anaomba leniency kwenye hukumu.

So alidanganya akiwa kwenye kiapo huyu wa kufunga
 

Masha walimnyoosha police aliowapelekesha ndio waliompelekesha mfumo ulipowatupa.
Naona masauni nae kaanza ukiweka bifu na police wanakusubiria tu ukiondoka.
Kange lugola sijui ana hali gani na mabus yake ya mwibara bunda naamini yatakuwa yanalimwa Sana vyeti na traffic.
 
Chawa wa magu wamebakia yatima.
Mwanaharakati huru,kessy, nkamia,kange, chalamila sijui Wana hali gani huko.
Gambo, mnyeti,muro na hapi wameufyata
 

Huu Ni utetezi kivipi?
 
Mara hajaoa ana mchumba tu, lipi ni lipi sasa?
 
Kutoka kuamrisha police hadi kuamriwa na police,
 
Hili bwege jambazi sijui kwanini walioteswa nae walimwacha atambe hivi, walishindwa kukodi watu 2 "wakamalizane" nae.??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…