Huyu atakuwa sana sana kafika form four na alipata daraja 0,kujichubua ni kutojiamini,na hii ni kwa wanawake wengi wasio na elimu,wao wanataka waonekane waarabu na wanaamini ukiwa mweupe basi ndio unakuwa mrembo,habari iwafikie mashakumpe wote wa mjini,weupe fake ni majanga kwenu,mnaikaribisha kansa.View attachment 395404re
Ukweli huyo mdada mke wa said fella anatuharibia wadada, kwa maana yeye ndiyo Muuza mikorogo wazi wazi tena mikorogo ya kila aina.
Anayo mpaka ya wiki unakuwa mweupe
TFDA mpo wapi?
Huwezi ukaongea kama hiviKwani TFDA na huyo muuzaji wa mikorogo kosa lao nini, nyie wadhibitini wake zenu na mabinti zenu
Hapa naona ndo umempromoteView attachment 395404
Ukweli huyo mdada mke wa said fella anatuharibia wadada, kwa maana yeye ndiyo Muuza mikorogo wazi wazi tena mikorogo ya kila aina.
Anayo mpaka ya wiki unakuwa mweupe
TFDA mpo wapi?
Sura ka kiazi kikuuView attachment 395555 Story bila kapicha, hainogi
Mnalazimishwa kutumia mikorogo?View attachment 395404
Ukweli huyo mdada mke wa said fella anatuharibia wadada, kwa maana yeye ndiyo Muuza mikorogo wazi wazi tena mikorogo ya kila aina.
Anayo mpaka ya wiki unakuwa mweupe
TFDA mpo wapi?
Watasingizia tunapendelea wanawake weupe ndo maana wanajikoboa😂😂ye alivyo tu anatisha sasa wewe mdada unaenda kununua hiyo kitu kwake akili yako haina akili
Tumpongeze kwa kututengenezea wawekezaji wa kichina (GMO).View attachment 395404
Ukweli huyo mdada mke wa said fella anatuharibia wadada, kwa maana yeye ndiyo Muuza mikorogo wazi wazi tena mikorogo ya kila aina.
Anayo mpaka ya wiki unakuwa mweupe
TFDA mpo wapi?
Anawapaka kwa kuwalazimisha ama wanamfuata na kujipaka kwa hiari.View attachment 395404
Ukweli huyo mdada mke wa said fella anatuharibia wadada, kwa maana yeye ndiyo Muuza mikorogo wazi wazi tena mikorogo ya kila aina.
Anayo mpaka ya wiki unakuwa mweupe
TFDA mpo wapi?
Kuna wanawake hasa wa makabira ya pwani wanapenda sana mikorogoView attachment 395404
Ukweli huyo mdada mke wa said fella anatuharibia wadada, kwa maana yeye ndiyo Muuza mikorogo wazi wazi tena mikorogo ya kila aina.
Anayo mpaka ya wiki unakuwa mweupe
TFDA mpo wapi?
Hawa viumbe nishida,kuna wengine unamkuta kafanana na papai kwenye usoHuyo alivyo jichubua ukikaa nae karibu huwa wanatoa harufu flani kama mzoga! TFDA sijui wanafanya kazi gani, Bidhaa za Tanzania huwa zinaingia nchini zikiwa na nembo ya tbs kabisa!!
Mikorogo iko hadi uzunguni kwa taarifa yako!kwani fella si anakaa tandika? huko uswahilini mikorogo huwezi kuwaepusha nao
Huelewi! Yaani were huna tofauti na watu wanaosemaga kaniambukiza ukimwi kwa makusudi wakati hajabakwa!Kama kila binadamu wana jua madhara ya vitu wanavyo tumia basi hamna haja ya kuwa na TFDA kwasababu wana pokea mishahara ya walipa kodi Pasipo kufanya kazi!!