charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 5,992
ndo hivo wajinga ndio waliwao....angekua hajahama pale ningepiga naye selfie nikutumie ili uamini..sweet ana weupe wa kawaida tu!!!hahahpouwa mamy.. kwa hiyo anadanganya wadada wa dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo hivo wajinga ndio waliwao....angekua hajahama pale ningepiga naye selfie nikutumie ili uamini..sweet ana weupe wa kawaida tu!!!hahahpouwa mamy.. kwa hiyo anadanganya wadada wa dar
Wanaongoza kwa kujichubua sbbu cream zinauzwa bei rahisi tena zimemwagwa chiniAsa ndo kama akina Wema.
Enzi yuko na Jumbe, Jumbe akachepuka na yule mdada mwenye tako.
hapo ndo mori ya Wema ilipopanda.
Matokeo yake....tako moja juu moja chini.
Hata hivo bado sijapata mantiki.
Kwanini wanawake wa uswazi ndo wanaongoza kwa kujichubua?
Nikiona hyo avatar namkumbuka Asigwa au ni Id yako nyingne?kwa wanaume na wenyewe inaruhusiwa kukukoboa..!!?
nauliza tu
daaah..Nikiona hyo avatar namkumbuka Asigwa au ni Id yako nyingne?
hii dhambi ya kuharibu ngozi za wenzie itamtafunando hivo wajinga ndio waliwao....angekua hajahama pale ningepiga naye selfie nikutumie ili uamini..sweet ana weupe wa kawaida tu!!!hahah
Chura wangu ananitosha na mwili wangu kipotabo na weupe ninao [emoji28][emoji28]
Manjano labda uende mwenyewe pale kwa Luvtouch.
Ila ukinunua ununue set ndio utafaidi.
Set huwa inajumuisha Mafuta, foundation na sabuni.
Hizi za maduka ya mawakala mie huwa samtain siwaamini.
Mimi huwa ni mtumiaji wa bidhaa za Sleek.
Na kijingozi changu hiki cha chungu.....akhaaa
Nateleza tu.
haswaa maana wanatiaga maji ya betri..jik..na vikolombezo vingine hatarishihii dhambi ya kuharibu ngozi za wenzie itamtafuna
jamani jamani ngozi zao watajutahaswaa maana wanatiaga maji ya betri..jik..na vikolombezo vingine hatarishi
pesa ipo ?
Ngoja umri utakavyosogea atakavyotisha na kuharibika ngozi !Kajipika, kajikoboa, kajichuna, huyo ukikaa karibu nae ananukaaaaa, wanawake weupe wana soko kwa wanaume, ila wawe natural, sio kujikoboa hivyo, huyo ukimshika ananata nata ngozi kama kachunwa ngozi... wana kinaishaaaaaaaaaaaa... aaaarrggh.... kinyaaa tupu
Namchukia sana anavyoharibu watu na yeye kashaisha bado watu hawaoni tz cjui nani katulogaView attachment 395404
Ukweli huyo mdada mke wa said fella anatuharibia wadada, kwa maana yeye ndiyo Muuza mikorogo wazi wazi tena mikorogo ya kila aina.
Anayo mpaka ya wiki unakuwa mweupe
TFDA mpo wapi?
Ha ha haaaaaaaaaaaa.shukrani
kuna duka flani la vipodozi kinondoni linaitwa jacks cosmetics unalijua? anauza lotion ya cocoa butter laki sita
yaani kasabuni tu ka kuogea elf 60
unalifahamu kwanza maana kidogo nizimie pale
yaani pale kuna hadi lotion ya milioni etiHa ha haaaaaaaaaaaa.
Umenichekesha mwaya, lotion laki 6? Anatoa wapi? Mbinguni ama?
We kama unapenda natural, hio manjano unaweza tengeneza mwenyewe, ukipata manjano nzima, unasaga kwenye rough surface na maji kdg. Kama liwa vile.
Wengine huchanganya manjano na unga wa dengu na maji kdg inakuwa kama paste vile then unapaka ikiganda inakosha. Au mtindi na oats. Lkn hio manjano usipende kuishiriki sana, nayo pia inafanyisha weupeee.