Mke wa Said Fella unatuharibia wadada hapa mjini

Mke wa Said Fella unatuharibia wadada hapa mjini

pouwa mamy.. kwa hiyo anadanganya wadada wa dar
ndo hivo wajinga ndio waliwao....angekua hajahama pale ningepiga naye selfie nikutumie ili uamini..sweet ana weupe wa kawaida tu!!!hahah
 
Asa ndo kama akina Wema.
Enzi yuko na Jumbe, Jumbe akachepuka na yule mdada mwenye tako.
hapo ndo mori ya Wema ilipopanda.
Matokeo yake....tako moja juu moja chini.

Hata hivo bado sijapata mantiki.
Kwanini wanawake wa uswazi ndo wanaongoza kwa kujichubua?
Wanaongoza kwa kujichubua sbbu cream zinauzwa bei rahisi tena zimemwagwa chini
 
Nikiona hyo avatar namkumbuka Asigwa au ni Id yako nyingne?
daaah..
ngoja nweke silaha chini, nilisema natoa notice ya siku 7 ntaibadilisha.
leo ni siku ya tatu, bado nne ntaibadili.
 
ndo hivo wajinga ndio waliwao....angekua hajahama pale ningepiga naye selfie nikutumie ili uamini..sweet ana weupe wa kawaida tu!!!hahah
hii dhambi ya kuharibu ngozi za wenzie itamtafuna
 
She just take advantage of their weakness....wachaa waumiee tuu.
Wajingaa ndio wali wao
 
Chura wangu ananitosha na mwili wangu kipotabo na weupe ninao [emoji28][emoji28]

Ha ha haaaa.. huyo chura si wako.... walaji ni sisi, mnenepeshe... anatakiwa anitoshe mie mumy... sio ww.. ww sio mlaji..!!

Huyo chura huyo, acha aruke ruke, anitoshe bana...
jamani chura huyoooo, jamani churaaaa huyoooo...

Usimbane chura, mwachie bana.. 😛😛🙄🙄😵😵

Haaa.. umeona macho ya chura hapo... kaweka juuu, chura anaruka ruka hapo... macho juuu...ha haaa..

Ciaaaoooo
 
Manjano labda uende mwenyewe pale kwa Luvtouch.
Ila ukinunua ununue set ndio utafaidi.
Set huwa inajumuisha Mafuta, foundation na sabuni.
Hizi za maduka ya mawakala mie huwa samtain siwaamini.
Mimi huwa ni mtumiaji wa bidhaa za Sleek.
Na kijingozi changu hiki cha chungu.....akhaaa
Nateleza tu.

Kungwi wa mahabat... upo kweli..?

Unaongeleaje Churaa churaaa huyoooo...

Watu wanahangaika na uso wakati habari ya mujini ni churaaa...

Kungwi umepotea sana
 
Sijiui mkorogo umeathiri mpaka meno yake mana yanatoka ovyo tu
 
Dr Kingwangala ana kazi ya kukimbizana na Dr Mwaka tu! Bora Dr Mwaka kuliko hawa mbwa
 
Kajipika, kajikoboa, kajichuna, huyo ukikaa karibu nae ananukaaaaa, wanawake weupe wana soko kwa wanaume, ila wawe natural, sio kujikoboa hivyo, huyo ukimshika ananata nata ngozi kama kachunwa ngozi... wana kinaishaaaaaaaaaaaa... aaaarrggh.... kinyaaa tupu
Ngoja umri utakavyosogea atakavyotisha na kuharibika ngozi !
 
Dada yako mfundishe kwenu. Mke wa Fella usimuonee.

Kama dada yako anataka mkorogo si lazima aupate kwa mke wa Fella, atautafuta kutoka popote.

Utataka kulaumu watu kama mke wa Fella wangapi?

Badala ya kuvaa kiatu ili usikanyage mwiba, unataka kuanza kulaumu mwiba mmoja baada ya mwingine.

Dada zenu wamepata mafunzo ya nyumbani yanayoasa dhidi ya mkorogo?
 
jichubueni dada zangu. wanaume wengi tunapenda wanawake weupe, haijalishi umeupataje. hata chura tunapenda na haijalishi umeipataje. the end justify the means.
 
View attachment 395404

Ukweli huyo mdada mke wa said fella anatuharibia wadada, kwa maana yeye ndiyo Muuza mikorogo wazi wazi tena mikorogo ya kila aina.

Anayo mpaka ya wiki unakuwa mweupe

TFDA mpo wapi?
Namchukia sana anavyoharibu watu na yeye kashaisha bado watu hawaoni tz cjui nani katuloga
 
shukrani
kuna duka flani la vipodozi kinondoni linaitwa jacks cosmetics unalijua? anauza lotion ya cocoa butter laki sita
yaani kasabuni tu ka kuogea elf 60
unalifahamu kwanza maana kidogo nizimie pale
Ha ha haaaaaaaaaaaa.
Umenichekesha mwaya, lotion laki 6? Anatoa wapi? Mbinguni ama?
We kama unapenda natural, hio manjano unaweza tengeneza mwenyewe, ukipata manjano nzima, unasaga kwenye rough surface na maji kdg. Kama liwa vile.
Wengine huchanganya manjano na unga wa dengu na maji kdg inakuwa kama paste vile then unapaka ikiganda inakosha. Au mtindi na oats. Lkn hio manjano usipende kuishiriki sana, nayo pia inafanyisha weupeee.
 
Ha ha haaaaaaaaaaaa.
Umenichekesha mwaya, lotion laki 6? Anatoa wapi? Mbinguni ama?
We kama unapenda natural, hio manjano unaweza tengeneza mwenyewe, ukipata manjano nzima, unasaga kwenye rough surface na maji kdg. Kama liwa vile.
Wengine huchanganya manjano na unga wa dengu na maji kdg inakuwa kama paste vile then unapaka ikiganda inakosha. Au mtindi na oats. Lkn hio manjano usipende kuishiriki sana, nayo pia inafanyisha weupeee.
yaani pale kuna hadi lotion ya milioni eti
nenda ukanionee yaani sabuni tu elf 50
 
Back
Top Bottom