Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba hiyo elimu ya kutengeneza mafuta ya kupaka, kwa matumizi ya me na ke.mimi siamini kipodozi chochote hapa bongo
ndo maana natengeneza mafuta yangu ya nazi kila week najipaka
unakuta mtu kachanika sijui michirizi utadhani nyoka mjane wa miaka mia
bora nionekane mshamba
natamani kuongeza chura wangu kidogo maana huku mjini msingi chura ila nitafanya tu mazoezi
mhhhh tena wewe si ulisema kugawa mwiko jamanimapenzi na njaa nitakucheat lazima
Mh kwani mmelazimishwa kujikoboa, c madem wenyewe mmeipenda, yani ukilazaeer umewajaa tuu, acha atumie opportunity kwa vilazaer
eh kwni lazima ununue... Umelazimishwa en ujichubue ili acha achukue ela za bure... Tamaa ndo znawponza hata TFDA imeon ni ujinga wa wadada wenyew ndmn wpo kimyaMh kwani mmelazimishwa kujikoboa, c madem wenyewe mmeipenda, yani ukilazaeer umewajaa tuu, acha atumie opportunity kwa vilazaer
uk ? mbona anauza hadi carolite?Anasemaga vya Uk.
Akwende zake.
Zoa zoa Buguruni zimejaa kibao.
Kula soko la samaki.
Mie kwa kweli hajanishawishi kununua pale.
Na wanaonunua wanazo
Muda mngine shule inasaidia, wa huku uswazi c unajua tena elimu zetu za chini ya mperaDuh!
Una hasira nao.
Pole sana.
ila vyanzo na visa vingi vya wanawake kujichubua nadhani ni wanaume.
Ila mie kwa uchunguzi wangu, naona wanawake wa mitaa ya fujo ie Mbagala, Manzese, Tandika, Tandale ndo wanaongoza.
Ila ni nadra sana kwa mwanamke wa Masaki au Oysterbay au huku Masaiti kumkuta amejichubua.
Huwa mpaka leo bado sijapata jibu
akija mwenye hela nampamhhhh tena wewe si ulisema kugawa mwiko jamani
akija mwenye hela nampa
pesa ipo ?Na mi nataka
Aisee umeongea ukweli mtupuHuyo alivyo jichubua ukikaa nae karibu huwa wanatoa harufu flani kama mzoga! TFDA sijui wanafanya kazi gani, Bidhaa za Tanzania huwa zinaingia nchini zikiwa na nembo ya tbs kabisa!!
Chura wangu ananitosha na mwili wangu kipotabo na weupe ninao [emoji28][emoji28][HASHTAG]#shunie[/HASHTAG]...
Una chura wewee..? ha haaa... wengine wakihangaika kutafuta uso mweupe ww usijali ww tengeneza na nenepesha CHURA.. ndio habari ya mjini... uso baadae...
hahah...mambo vip shost! za masiku?ye alivyo tu anatisha sasa wewe mdada unaenda kununua hiyo kitu kwake akili yako haina akili
Muna anavaa chupi za vigodoro [emoji28][emoji28]Yule atakuwa chura wa mvua za Vuli.
Kuna dada mmoja alisema kuwa aliwahi kumbinya Wema makalio...makalio yalibonyea.
Ila Muna chura wake wa godoro la Comfy.
Chura leo yuko tako hili, kesho tako lile
pouwa mamy.. kwa hiyo anadanganya wadada wa darhahah...mambo vip shost! za masiku?
fyi huyu wala sio ndo rangi yake live ni ma effect ya camera nilimuona enzi akiwa na salun pale kinondoni mkwajuni ni ana weupe wa kawaida tu..naona anatia maeffects ya picha kuvutia soko lake.
Mtandaon wanakamatwa wale wanaopingana na Magu tu..Yn hata mimi nashangaa..hivi TFDA kazi yao ipi..mtu yuko mtandaon kabisa na rahisi kumpata lkn wapi