Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
shukraniManjano labda uende mwenyewe pale kwa Luvtouch.
Ila ukinunua ununue set ndio utafaidi.
Set huwa inajumuisha Mafuta, foundation na sabuni.
Hizi za maduka ya mawakala mie huwa samtain siwaamini.
Mimi huwa ni mtumiaji wa bidhaa za Sleek.
Na kijingozi changu hiki cha chungu.....akhaaa
Nateleza tu.
kuna duka flani la vipodozi kinondoni linaitwa jacks cosmetics unalijua? anauza lotion ya cocoa butter laki sita
yaani kasabuni tu ka kuogea elf 60
unalifahamu kwanza maana kidogo nizimie pale