mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Huyu atakuwa sana sana kafika form four na alipata daraja 0,kujichubua ni kutojiamini,na hii ni kwa wanawake wengi wasio na elimu,wao wanataka waonekane waarabu na wanaamini ukiwa mweupe basi ndio unakuwa mrembo,habari iwafikie mashakumpe wote wa mjini,weupe fake ni majanga kwenu,mnaikaribisha kansa.View attachment 395404re
Ukweli huyo mdada mke wa said fella anatuharibia wadada, kwa maana yeye ndiyo Muuza mikorogo wazi wazi tena mikorogo ya kila aina.
Anayo mpaka ya wiki unakuwa mweupe
TFDA mpo wapi?