Mke wa Steve Nyerere aongea kuhusu dada aliyemnyang'anya mume

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Mke wa mchekeshaji steve Nyerere amezungumzia kuhusu dada mmoja wa bongo movie kunyang'anya mume wake na kudai kuwa steve ataenda popote lakini atarudi tu kwa kuwa yeye ana watoto wake,

Amesema kuna wadada wenye maisha magumu wanataka kuwa na maisha bora ndio maana wanamsumbua sana mumewe lakini kamwe hawatakuwa naye na hana wasiwasi
 
Do huyu dada inamaana anaelewa pia kuwa mumewe ni kuwadi mzuri sana wa bongo movi na ameieleza vizuri sana.
 
Wanaume tumeumbwa tamaa tamaa kuhangaika....yaan hata kumbe ukiwa na mke mzuri kama cleopatra wa kwenye vitabu vya dini unaweza ukaja kutoka nduki na house girl wako.,hainaga kuridhika hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…