Mke wa Steve Nyerere aongea kuhusu dada aliyemnyang'anya mume

Mke wa Steve Nyerere aongea kuhusu dada aliyemnyang'anya mume

Duh! nikimwona Steve Nyerere namkumbuka jamaa yangu mmoja tulikua tunakaa wote rum moja wakati nasoma A-level,no mfupi ananifika begani lakini alikua anawafanya wadada kweli tena kwakushobokewa kisa alikua na bonge LA ndendelee... Hakika yule jamaa ndiye mtu ambaye huwa siwaamini wale ambao husema kimo cha mtu hudetermine urefu wa ndendele take.Make asimlaumu Mr. wake yawezekana naye anandendele kubwa inayofanya ashawishike kuwafanyafanya akina dada wa mjini.
 
uliliona ndendelee lake nn mkuu?
 
Si kwamba karuhusiwa .. kuna mama mmoja alikuwa hata asikie mumewe anapiga demu ji rani haangaiki Mume kastaafu shubiri anayoipata hatari revenge na manynyaso hadi swala la chakula. sasa michepuko yote imempiga chini anakaa home na mkewe anajuta. Mke analist ya michepuko yake akizengua au a nahitaji kitu anatajiwa jina si uende huko anakuwa mdogo mzee wa watu hadi huruma.. ogopa mwanamke anayewkwambia utaenda utarudi yani utakomaaa
Kwani ukistaafu unakuwa kilema ama? Huyo mshua hakujipanga,alitakiwa kuwa na chanzo cha pesa tuu,angekuwa anapiga game kwa kwenda mbele.
 
Alf mwanamke mzuri sana hata haendani na hicho steve,mxiewwwww
 
Steve Mzee wa #Mizigo#Nyama choma#Nundu#vinyamaVilivyoZidi#Shindu#Chura#Msambwanda#InyePlus#
 
Kuna wanaume wana bahati, yaani unachepuka unaambiwa utaenda utarudi? Mi wangu siku akijua nimechepuka, anaweza kuniua akanikatakata vipandevipande and feed it to the shark.
Yaani hapo ndio nna bahati, otherwise she would put me in coma for the rest of My Life.
Ukiona mwanamke anakwambia utaenda utarudi shtuka..... unaliwa
 
Mmh. Steve ana mke mzuri ila Steve mwenyewe mmmh.ama kweli kila mtu na mtu wake.sijui huyo alimpendea nini huyo Steve.Steve mwenyewe amekaa ki ujanja janja
 
Back
Top Bottom