Mke wa Steve Nyerere aongea kuhusu dada aliyemnyang'anya mume

Mke wa Steve Nyerere aongea kuhusu dada aliyemnyang'anya mume

Kweli ameshikwa panaposhikika ndo hawa wanakwambia kabisa "baba watoto huko nje usifanye sana kama kwangu wataniibia bure.."
 
Kuna wanaume wana bahati, yaani unachepuka unaambiwa utaenda utarudi? Mi wangu siku akijua nimechepuka, anaweza kuniua akanikatakata vipandevipande and feed it to the shark.
Yaani hapo ndio nna bahati, otherwise she would put me in coma for the rest of My Life.
 
2700773268bdc72a2e19665e70a0809b.jpg

naona anataka kuangusha mbuyu kwa wembe
 
Mi ukiona nachepuka nachukua chuma kweli kweli sema haya mambo hayana formula unakuta mwanamke sura mbovu lkn papuchi mnato ilihali mkeo papuchi ishaachia kama goli la majimaji.
Unamaanisha Ile time kila mtu anapiga goli [emoji1] [emoji1]
 
Mi ukiona nachepuka nachukua chuma kweli kweli sema haya mambo hayana formula unakuta mwanamke sura mbovu lkn papuchi mnato ilihali mkeo papuchi ishaachia kama goli la majimaji.

mkuu umenichekesha sana eti "goli la majimaji"
 
Steve ana raha sana mke anamruhusu aende kokote lkn arudi wakati wengine mtu akiambiwa tuu umeonekana na mtu anaanzisha timbwili na baada ya hapo hakutaki tena.

Kuna wanaume wana bahati, yaani unachepuka unaambiwa utaenda utarudi? Mi wangu siku akijua nimechepuka, anaweza kuniua akanikatakata vipandevipande and feed it to shark.
Yaani hapo ndio nna bahati, otherwise she would put me in coma for the rest of My Life.
Si kwamba karuhusiwa .. kuna mama mmoja alikuwa hata asikie mumewe anapiga demu ji rani haangaiki Mume kastaafu shubiri anayoipata hatari revenge na manynyaso hadi swala la chakula. sasa michepuko yote imempiga chini anakaa home na mkewe anajuta. Mke analist ya michepuko yake akizengua au a nahitaji kitu anatajiwa jina si uende huko anakuwa mdogo mzee wa watu hadi huruma.. ogopa mwanamke anayewkwambia utaenda utarudi yani utakomaaa
 
Back
Top Bottom