Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Confidence au ujinga,sasa kama anajua ataenda na atarudi kelele za nini??watu tumelala na vitamu vyetu?Nimependa confidence yake
"Ataenda atarudi" amekua period?
[emoji15] [emoji15] ticha hukumpa zile za walimu wa mbeyawanaume utawawezaa...?
nilimuonaga mchepuko wa Mr nilichekaaaa siku mojaa badala ya kununa....!!
Mhhh"Ataenda atarudi" amekua period?
Unamaanisha Ile time kila mtu anapiga goli [emoji1] [emoji1]Mi ukiona nachepuka nachukua chuma kweli kweli sema haya mambo hayana formula unakuta mwanamke sura mbovu lkn papuchi mnato ilihali mkeo papuchi ishaachia kama goli la majimaji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] haaa!sikua hata na muda huo!![emoji15] [emoji15] ticha hukumpa zile za walimu wa mbeya
Mi ukiona nachepuka nachukua chuma kweli kweli sema haya mambo hayana formula unakuta mwanamke sura mbovu lkn papuchi mnato ilihali mkeo papuchi ishaachia kama goli la majimaji.
Here umetishaMi ukiona nachepuka nachukua chuma kweli kweli sema haya mambo hayana formula unakuta mwanamke sura mbovu lkn papuchi mnato ilihali mkeo papuchi ishaachia kama goli la majimaji.
Steve ana raha sana mke anamruhusu aende kokote lkn arudi wakati wengine mtu akiambiwa tuu umeonekana na mtu anaanzisha timbwili na baada ya hapo hakutaki tena.
Si kwamba karuhusiwa .. kuna mama mmoja alikuwa hata asikie mumewe anapiga demu ji rani haangaiki Mume kastaafu shubiri anayoipata hatari revenge na manynyaso hadi swala la chakula. sasa michepuko yote imempiga chini anakaa home na mkewe anajuta. Mke analist ya michepuko yake akizengua au a nahitaji kitu anatajiwa jina si uende huko anakuwa mdogo mzee wa watu hadi huruma.. ogopa mwanamke anayewkwambia utaenda utarudi yani utakomaaaKuna wanaume wana bahati, yaani unachepuka unaambiwa utaenda utarudi? Mi wangu siku akijua nimechepuka, anaweza kuniua akanikatakata vipandevipande and feed it to shark.
Yaani hapo ndio nna bahati, otherwise she would put me in coma for the rest of My Life.
Mwanamke wa hivyo mwogope anaweza kukua kimya kimya huku akijifanya anakupenda tehDuh kwa hio ndo kampa ruhusa kabisaaa
Hahaha
Shuhuli yake bed ndo balaaHicho kimo cha Steve mmh