God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Nimekupata mkwe.Mwanamke wa hivyo mwogope anaweza kukua kimya kimya huku akijifanya anakupenda teh
anajikaza tuuuSteve ana raha sana mke anamruhusu aende kokote lkn arudi wakati wengine mtu akiambiwa tuu umeonekana na mtu anaanzisha timbwili na baada ya hapo hakutaki tena.
hahaaa, kweli mkuuAsiwe na hofu huyo steve anaigiza tu,akimaliza kuigiza atarudi.
Still loading. ...........ongeza taarifaYule mdada mwenye Matako Makubwa ya Mchina ndo kamteka Steve aisee Steve anapenda matakooooo
uliliona ndendelee lake nn mkuu?Duh! nikimwona Steve Nyerere namkumbuka jamaa yangu mmoja tulikua tunakaa wote rum moja wakati nasoma A-level,no mfupi ananifika begani lakini alikua anawafanya wadada kweli tena kwakushobokewa kisa alikua na bonge LA ndendelee... Hakika yule jamaa ndiye mtu ambaye huwa siwaamini wale ambao husema kimo cha mtu hudetermine urefu wa ndendele take.Make asimlaumu Mr. wake yawezekana naye anandendele kubwa inayofanya ashawishike kuwafanyafanya akina dada wa mjini.
"Ataenda atarudi" amekua period?
Kwani ukistaafu unakuwa kilema ama? Huyo mshua hakujipanga,alitakiwa kuwa na chanzo cha pesa tuu,angekuwa anapiga game kwa kwenda mbele.Si kwamba karuhusiwa .. kuna mama mmoja alikuwa hata asikie mumewe anapiga demu ji rani haangaiki Mume kastaafu shubiri anayoipata hatari revenge na manynyaso hadi swala la chakula. sasa michepuko yote imempiga chini anakaa home na mkewe anajuta. Mke analist ya michepuko yake akizengua au a nahitaji kitu anatajiwa jina si uende huko anakuwa mdogo mzee wa watu hadi huruma.. ogopa mwanamke anayewkwambia utaenda utarudi yani utakomaaa
Anampenda huyo mdada bana hapendi matako si angemwambia mkewe naye aende Beijing.Yule mdada mwenye Matako Makubwa ya Mchina ndo kamteka Steve aisee Steve anapenda matakooooo
Mchepuko una convincing powerAnampenda huyo mdada bana hapendi matako si angemwambia mkewe naye aende Beijing.
sawa anaweza enda akarudi na lile dudu hatari lisilo-tiba!?mwambie atulize ball mlee watoto!?''Najua mimi Steve atenda,atazunguka,atarudi''...............Shabaaash!
Hicho kimo cha Steve mmh
kitu gani kilichofanya umpende?Nimempenda
Ukiona mwanamke anakwambia utaenda utarudi shtuka..... unaliwaKuna wanaume wana bahati, yaani unachepuka unaambiwa utaenda utarudi? Mi wangu siku akijua nimechepuka, anaweza kuniua akanikatakata vipandevipande and feed it to the shark.
Yaani hapo ndio nna bahati, otherwise she would put me in coma for the rest of My Life.