Mke wa Steve Nyerere aongea kuhusu dada aliyemnyang'anya mume

Heading na alichokizungumza huyo mke tofauti
Kweli bwana mazungumzo na heading ni tofauti kabisa yeye anazungumza ni general tabia A wadada kunyemelea wanaume akiwemo Steve hajalalamika kuibiwa Steve!!!
 
She needs to kick his midget ass to the curb! Eti atarudi, tuna watoto.......SO WHAT![emoji57]
 
Nimependa confidence yake
Yaani kama mimi ndo Steve baada tu yakusikia hii naachana na vifurushi vyoote najirudiashia mapenzi yote nyumba kuu. ...Mama anajiamini hadi anantia hamu[emoji41]
 
Aisee wanawake wana moyo,hivi ka steve nyerere na kenyewe ni ka kugombaniwa hahah
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mmh. Steve ana mke mzuri ila Steve mwenyewe mmmh.ama kweli kila mtu na mtu wake.sijui huyo alimpendea nini huyo Steve.Steve mwenyewe amekaa ki ujanja janja
Huyo mkew ndo yupi pivua jmn,simjui
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…