Mke wa tatu halafu mwenye mke kumbe naye alishakuwa bosi wa watu mbona kama sielewi

Mke wa tatu halafu mwenye mke kumbe naye alishakuwa bosi wa watu mbona kama sielewi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Sisi tulijua bosi huyu bosi wetu kama mama yetu ana mume ila tukumuona mume wake hata kanisani ila tunamuona bosi aliyekuwepo kipindi cha nyuma kuwa naye karibu.

Ina maana bosi hata mtoto wako pendwa japo hayupo ofisini anaweza kuwa na kaka yake mtoto wa bosi wa zamani ambaye ni yule mtumishi mkubwa wanaofanana tabia za kipindi bosi wa zamani alipokuwa kipindi chake mpaka kustaafu alikuwa kama yeye.
 
Hii haina maana yoyote kwa nchi.
Ni habari ya kumjadili mtu maisha binafsi tena kwa mambo ya kuhisi na kufikirika.
Acheni hizo, mkosoeni katika mambo ya kweli na ya msingi.
 
Huu mnaoufanya ni ujinga,code za kishamba Kama hzi msiwe mnazileta humu....yan umeandika utumbo uliojaa uongo na uzushi ili kumchafua mtu,ujinga wenyewe uliouandika unaouelewa wewe mwenyewe Unataka na sisi utulazimishe kuumiza vichwa kuingia Kwenye huu ujinga.....acheni hzo,ongeeni Mambo yanayohusu nchi Mambo Binafsi hayakufikishi popote ndg.
 
Hawa wajinga wanaboa kinoma ni wanapiga ramli hakuna wanachojua.

ID fake unashindwaje kuweka mambo hadharani kama ni kweli na yana masihali kwa nchi na wanachi.
Boss wa zamani msoga one mbona hamna code hapo
 
Mnashindwa kuleta hoja Zenye Maana mnaanza kuingilia Mambo Binafsi ya watu sasa.....hv ukikuta Kuna uzi wazAzi wako ndo wanajadiliwa Kama Hivi utafurahi?
 
IMG_1930.jpeg
IMG_1931.jpeg
 
Huu mnaoufanya ni ujinga,code za kishamba Kama hzi msiwe mnazileta humu....yan umeandika utumbo uliojaa uongo na uzushi ili kumchafua mtu,ujinga wenyewe uliouandika unaouelewa wewe mwenyewe Unataka na sisi utulazimishe kuumiza vichwa kuingia Kwenye huu ujinga.....acheni hzo,ongeeni Mambo yanayohusu nchi Mambo Binafsi hayakufikishi popote ndg.
😅😅
 
Back
Top Bottom