Hakika hakuna,ndo maana kuna muda naona Mungu hayupo.Kwanini aruhusu uonevu huu wa wazi huku watesi wakiwa na maisha ya kufuja?Samia na group lake nu wabaya sana. Nimesikia vibaya mno. Hakuna masilahi yoyote tunapata kwa kumuweka lissu ndani.
Ya zamani hiiUonevu kwa mtu ambaye katoa maisha yake kwa kutetea haki za Watanzania! Kama wewe huoni tatizo wewe ndiyo tatizo. Lissu hajawahi kuchukuwa bunduki na siku zote anashinda kwa hoja
View: https://youtu.be/ll2wwbGcOFI?si=TaPnMtGx3vr6r46r
Very moving 😢 she did well 💪🏽Uonevu kwa mtu ambaye katoa maisha yake kwa kutetea haki za Watanzania! Kama wewe huoni tatizo wewe ndiyo tatizo. Lissu hajawahi kuchukuwa bunduki na siku zote anashinda kwa hoja
View: https://youtu.be/ll2wwbGcOFI?si=TaPnMtGx3vr6r46r
Yana mwisho haya. The oppressor’s days are numbered—sooner or later she’ll be held to account for her actions!Uonevu kwa mtu ambaye katoa maisha yake kwa kutetea haki za Watanzania! Kama wewe huoni tatizo wewe ndiyo tatizo. Lissu hajawahi kuchukuwa bunduki na siku zote anashinda kwa hoja
View: https://youtu.be/ll2wwbGcOFI?si=TaPnMtGx3vr6r46r
Yeye kama mwanamke kusema anachoona si vibaya
Na mumewe kupitia anayoyapitia ni ulimbukeni tu wa uongozi hakukuwa na sababu ya yote haya
Lakini kwanini aseme sasa ndio jambo lenye mashaka.!
Yeye alikuwa na sababu na kusikilizwa muda wote wote wa mapito haya
Toka mapema angeweza kushawishi umma na uongozi bila kuchoka kwamba mwandani wake aachwe huru na angesikilizwa
"angesikilizwa"! Amri mpaka itoke Mzee wilayani Chalinze si leo.Yeye kama mwanamke kusema anachoona si vibaya
Na mumewe kupitia anayoyapitia ni ulimbukeni tu wa uongozi hakukuwa na sababu ya yote haya
Lakini kwanini aseme sasa ndio jambo lenye mashaka.!
Yeye alikuwa na sababu na kusikilizwa muda wote wote wa mapito haya
Toka mapema angeweza kushawishi umma na uongozi bila kuchoka kwamba mwandani wake aachwe huru na angesikilizwa
Yeye kama mwanamke kusema anachoona si vibaya
Na mumewe kupitia anayoyapitia ni ulimbukeni tu wa uongozi hakukuwa na sababu ya yote haya
Lakini kwanini aseme sasa ndio jambo lenye mashaka.!
Yeye alikuwa na sababu na kusikilizwa muda wote wote wa mapito haya
Toka mapema angeweza kushawishi umma na uongozi bila kuchoka kwamba mwandani wake aachwe huru na angesikilizwa
Wangapi wameshauri hili na bado mama yenu hataki kusikia na yuko radhi nchi ikose misaada,huyu ana shida ya kiuongoziYeye kama mwanamke kusema anachoona si vibaya