Mke wa Walker anadai Bilioni 54 baada ya mume wake kuzaa nje ya ndoa

Ukifika hapo ndio utajua Muheshimiwa Hakimi alikua na akili kubwa kiasi gani
 
Muda si mrefuu unaingia huku.
Bora siye tuliyeamua kukimbia meli ya ndoa mapema

Aahaaaaaa

Diamond na ujinga wake wa kwenda kwa Pdidy amekataaa kufunga ndoa Hadi hii leo
 
SI Bora aondoke pesa zote hizo za Nini?
Watoto wanne kuondoka si rahisi sana ingawa kwa Ulaya inawezekana. But kama ni mimi nampa tu hizo hela maana anabaki kukaa na watoto wake wanne na hizo hela hazitaenda mbali na watoto.

Sema jambo la kushangaza ambalo hatujalizoea ni habari ya Mzungu kuzaa watoto wanne kwa mke wake then anakuwa na watoto wenhine wawili nje ya ndoa. watoto sita kwa mzungu wa leo ndo habari mpya kwangu ukimuondoa Trump.
 
Trouble Makers......ukiwa maarufu au Tajiri kuwa makini sana na Wanawake wafanya biashara kwa kutumia pucy
 
Sasa mumeo kuzaa nje ya ndoa kuna uhusiano gani na kutaka mgao wa mali ambazo sio zako? Ulimsaidia kukimbizana na wakina Mbappe uwanjani?

Kilichowaunganisha ni mapenzi, mwanaume amekusaliti basi ondoka mwachie mali zake.
 
Huu upuuzi utafika Tanzania siku moja.
Adultery kwa Tanzania sio kosa la jinai ila unaweza fungua madai kudai fidia kama afanyavyo mke wa Walker. Thus kwa Tanzania pia inawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…