much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Mbona umefika kitambo siku ukiwa na kesi ya taraka inayohusisha mgawanyo wa Mali ndo utajuaHuu upuuzi utafika Tanzania siku moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umefika kitambo siku ukiwa na kesi ya taraka inayohusisha mgawanyo wa Mali ndo utajuaHuu upuuzi utafika Tanzania siku moja.
Upo pekeako Kwa mama yako na babayako?Ndio maana sinafunga ndoa na mali zangu nimeandika mama yangu.
Tena kwa mapenzi yenu wenyewe bila kulazimishwa imagine!Wanaume tunapitia mengi
We ulifikiri Kuna mapenzi ya dhati siku hizi?Duh wanawake wako kibiashara zaidi duh.
Bora siye tuliyeamua kukimbia meli ya ndoa mapemaMuda si mrefuu unaingia huku.
🤔🤔🤔🤔Unakuta na uyo mwanamke wa nje ya ndoa nae kamtegeshea. Anapigwa kwote kuwili.
Hauwezi kufika maana waoaji wenyewe hawapoHuu upuuzi utafika Tanzania siku moja.
Mbape ni gasho?Kijana nimempenda bure. Anazalisha wanawake. Mbappe anadate wanaume wenzake.
Huyu anayezalisha mambo yake yanaelezeka kuliko mafirauni
Wapo tayari wanaougulia hizo situationHuu upuuzi utafika Tanzania siku moja.
Watoto wanne kuondoka si rahisi sana ingawa kwa Ulaya inawezekana. But kama ni mimi nampa tu hizo hela maana anabaki kukaa na watoto wake wanne na hizo hela hazitaenda mbali na watoto.SI Bora aondoke pesa zote hizo za Nini?
Mbappe ni hatari. Mpelekeni kwa P-Diddy.Kijana nimempenda bure. Anazalisha wanawake. Mbappe anadate wanaume wenzake.
Huyu anayezalisha mambo yake yanaelezeka kuliko mafirauni
Trouble Makers......ukiwa maarufu au Tajiri kuwa makini sana na Wanawake wafanya biashara kwa kutumia pucyAnnie Kilner ambaye ni mke wa beki wa kulia wa Manchester City, Kyle Walker anadai fidia ya pauni milioni 15 sawa na Bilioni 54,428,016,000 kwa pesa za Tanzania kama fidia ya yeye kukubali kuendelea kubaki kwenye ndoa baada ya mume wake kuzaa watoto wawili nje ya ndoa
View attachment 3112042
Kesi hii iliteka vichwa vya habari nchini Uingereza mwezi January mwaka huu, baadae Walker alitoka hadharani kukiri kosa hilo lakini hivi karibuni imeibua sura mpya baada ya Annie kuajiri mtu maalumu wa kufuatilia utajiri wa Walker akiendelea kusisitiza kudai fidia hiyo
View attachment 3112044
Walker na Annie walifunga ndoa mwaka 2021 na wamebarikiwa kupata watoto wanne Roman (12) Riaan (7) Reign (5) na Rezon (Miezi sita)View attachment 3112043
Dahh hatrHuu upuuzi utafika Tanzania siku moja.
Sasa mumeo kuzaa nje ya ndoa kuna uhusiano gani na kutaka mgao wa mali ambazo sio zako? Ulimsaidia kukimbizana na wakina Mbappe uwanjani?Walker naye hajielewi, alizaa nje mtoto wa kiume. Mkewe akamsamehe, hakukaa sana akaenda kuzaa nje na mwanamke yuleyule wa mwanzo, mtoto wa kike. Na amekuwa akikana, ila ukweli ukawekwa wazi.
Kipindi mkewe ana ujauzito wa mtoto wa 4, mchepuko umemsumbua sana. Alikuwa akimtext kumwelezea mauhusiano yake na mumewe, mtu ni mjamzito. Acha apewe ni halali yake. Walker mwenyewe kapendezwa na hilo inaonyesha, wambea wanasema kuwa watoto wake watakuwa na financial security
Adultery kwa Tanzania sio kosa la jinai ila unaweza fungua madai kudai fidia kama afanyavyo mke wa Walker. Thus kwa Tanzania pia inawezekana.Huu upuuzi utafika Tanzania siku moja.