Poleni sana Mama Mkwe umeniacha jamani!! nilikupenda sana mara zote bila kukosa ucheshi wako sinta sahau,
ILa Mariam Salim nitafute tumetoka mbali rudisha moyo nyuma angalia mama yetu mpendwa kaondoka bila uwepo wangu haya yote ajili yako!! na bila yeye nisingekupata. Naomba tena rudisha moyo nyuma ili tuwe kitu kimoja. Naomba! unifikirie upya!!
Hkn njia rahisi ya kukupata wewe tokana na nafasi yako ilivo ngumu matukio yanakuja na kupita hata sisi tutapita! je ungependa tuandike historia gani? Nakuomba sana!!!