Wee jamaa wee Leo umeniamulia Aisee.Acha udanganyifu mkuu!
Mi Niko powa mkuu
Saaaa... Saaagggg.. Daaaaaaaa
Sagudaaaaa mtu wangu
π¬π¬π¬π¬π¬ππππππΏππΏππΏππΏ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee jamaa wee Leo umeniamulia Aisee.Acha udanganyifu mkuu!
Mi Niko powa mkuu
Kwa mshutuko mkubwa nimepokea habari ya kuondokewa na Bi Amne Rifai Salim, Mkewe na Mh Salim Ahmed Salim. Inna Lillahi Wainna Ilaihi Rajiiuun.
Inna Lillahi Wainna Ilaihi Rajiiuun.Kwa mshutuko mkubwa nimepokea habari ya kuondokewa na Bi Amne Rifai Salim, Mkewe na Mh Salim Ahmed Salim. Inna Lillahi Wainna Ilaihi Rajiiuun.
Ni kweli watu wakikaa pamoja muda mrefu wanafanana. Utafikiri mtu na mdogo wake. RIP .
May be ni mabinamu, inaruhusiwa kuoana.Ni kweli watu wakikaa pamoja muda mrefu wanafanana. Utafikiri mtu na mdogo wake. RIP .
Huyu madame hajawahi kweli kujihusisha na mambo ya mipira, yanga au nachanganya mafaili?.May be ni mabinamu, inaruhusiwa kuoana.
Muhindi huyu bibi?Poleni wafiwa wote na watanzania kwa ujumla, mola ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Ameen
Chanzo: swahili timeView attachment 1605882
Hee, kumbe JF kuna watu ambao wamekaula chumvi kiasi hicho !!!!!Nimepoteza Class mate wangu, Forodhani Secondary School!
Nyumbani kwao palikuwa maeneo ya kisutu karibu na ilipo City mall
Pole sana Dr Salim, Allah ampe tahfeef, kuondolewa na Mke Mlezi ukiwa taaban kitandan ni mtihan Mkubwa sana sana
Kuna trend Fulani hivi, kwa wazee Kama Hawa mmoja akitangulia huwa mwingine nae Ana muda mfupi atamfuata.Lala salama mama Amne
Na umri alionao hiki kitakua kipindi kigumu sana kwa Mh Salim Ahmed Salim na familia, Mungu awape imani
Classmate wa Mrs SAS? UKO 70+! ? Umekula chumvi ya kutosha mkuu.Nimepoteza Class mate wangu, Forodhani Secondary School!
Nyumbani kwao palikuwa maeneo ya kisutu karibu na ilipo City mall
Pole sana Dr Salim, Allah ampe tahfeef, kuondolewa na Mke Mlezi ukiwa taaban kitandan ni mtihan Mkubwa sana sana
Hii ni kweli, tena na vile aliyebaki ni mwanaume dah. Wanaume hawawezagi kubeba maumivu na kuukubali ukweli wa upweke. Mungu ampe imani na faraja ya pekee mzee SalminKuna trend Fulani hivi, kwa wazee Kama Hawa mmoja akitangulia huwa mwingine nae Ana muda mfupi atamfuata.
Siombei lakini.
Kumbe yule mwingine ni majungu ya Chadema tu.Watoto watatu, Maryam, Ali na Ahmed. Mmoja ni Dr of medicine.
Hawa ni watoto wa mama Amne si wa mpango wa nje.Kumbe yule mwingine ni majungu ya Chadema tu.