TANZIA Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed afariki dunia

Lala salama mama Amne
Na umri alionao hiki kitakua kipindi kigumu sana kwa Mh Salim Ahmed Salim na familia, Mungu awape imani
Inna lillahi wa inna illaih rajiuun
Msiba mkubwa kwa mzee wetu salim ukitilia maanani naye amekuwa mgonjwa muda sasa
Mungu ammpe nguvu.
 
Nimepoteza Class mate wangu, Forodhani Secondary School!

Nyumbani kwao palikuwa maeneo ya kisutu karibu na ilipo City mall

Pole sana Dr Salim, Allah ampe tahfeef, kuondolewa na Mke Mlezi ukiwa taaban kitandan ni mtihan Mkubwa sana sana
Basi we age imeendaa
Duh

Ova
 
Nimepoteza Class mate wangu, Forodhani Secondary School!

Nyumbani kwao palikuwa maeneo ya kisutu karibu na ilipo City mall

Pole sana Dr Salim, Allah ampe tahfeef, kuondolewa na Mke Mlezi ukiwa taaban kitandan ni mtihan Mkubwa sana sana
Pohamba shikamoo
 
Class mate wako?
Pole kwa familia.
 
Pole yao Dkt,Salim na familia kwa ujumla kwa msiba mzito...
 
Mwenye picha yake tafadhali
EkwcTouWAAEq_Np.jpg
 
Pole sana kwa wafiwa, lakini pia inatukumbusha kuzihesabu siku zetu na kujua itupasavyo kuenenda. Mungu awape faraja wafiwa

AYUBU. 1:21-22

Akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe. Katika mambo hayo yote Ayubu hakufanya dhambi, wala hakumwazia Mungu kwa upumbavu.
 
Zanzibar kama wewe ni mpemba, marekani kama wewe ni black au Tanganyika ukiwa mzaliwa wa kaskazini…………………………!!
 
Innalillah wa Innaillaah Raajiuum

Mungu Awape subira wafiwa hasa Dr Salim mwenyewe ambaye naye hali yake kiafya haiko vizuri katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wao
 
Pumzika mama... Tuwekeeni picha za ujana wao
 
Nimepoteza Class mate wangu, Forodhani Secondary School!

Nyumbani kwao palikuwa maeneo ya kisutu karibu na ilipo City mall

Pole sana Dr Salim, Allah ampe tahfeef, kuondolewa na Mke Mlezi ukiwa taaban kitandan ni mtihan Mkubwa sana sana
Kumbe wewe ni kijana sana.
 
Back
Top Bottom