mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Poleni sanaNimepoteza Class mate wangu, Forodhani Secondary School!
Nyumbani kwao palikuwa maeneo ya kisutu karibu na ilipo City mall
Pole sana Dr Salim, Allah ampe tahfeef, kuondolewa na Mke Mlezi ukiwa taaban kitandan ni mtihan Mkubwa sana sana