Mke wa waziri mkuu wazamani wa Nepal achomwa moto, yeye akimbia

Mke wa waziri mkuu wazamani wa Nepal achomwa moto, yeye akimbia

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Mke wa waziri mkuu ametiwa kiberiti

Waziri wao wa fedha Kala mijeledi na kusukumizwa kwenye bomba la kinyesi

Mawaziri wanatoroshwa na chopa

Ikulu Yao imechomwa

Britanicca
==============
Baada ya kulichoma Moto Bunge la Nchi hiyo, Waandamanaji Nchini Nepali wameichoma Nyumba wa waziri mkuu huku yeye akifanikiwa kutoroshwa na Helkopta ya Jeshi na Mke wake kujikuta amechomewa ndani ya Nyumba hiyo.

Pia soma Nyumba ya familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Bangladesh yavamiwa na waandamanaji na kuchomwa moto

Waandamanaji hao wamedai wahakujua kama Mama huyo alibakia ndani ya nyumba hiyo.

Na kwingineko waziri mpya wa Afya wa Swiden amedondoka gafla wakati akizungumza na waandishi wa Habari, siku moja tu baada ya kuteuluwa kwake.
 
Why mke wa waziri? Inamaana hiyo familia haikujia na kusoma mazingira ili kuhamisha familia mapema?
NI kama ile Russia revolution ya kina Lenin waliingia Kremlin na kuua uzao wore. Kwasababu watawala walikuwaga wakila sausage na berbucue kwenye balcony huku wakiwaringia watu ambao chakula kilikuwa Shida.
 
Haki ikikandamizwa sana watu wanatunza visasi, siku wakichoka ndo km hivyo..!!

Ila yule nchemba wa Nepal na kile kitambi kaipata fresh, wamemchapa kwenye mto huku waungwana walio nje ya mto wanamtamani atoke wampike supu 😹😹😹
Ila pia watu wanatakiwa wafikirie mapinduzi. Niliyapenda yale mapinduzi ya Sri Lanka. Kesho yake walirudi baada ya kuangusha utawala na kufanya usafi Ikulu waliyoivamia na kurudisha kila kitu in place.

Lakini hawa madogo wa nepal wame vandalise miundombinu mifumo ya umeme, maji na sewages. Unguza nyaya za umeme wamechoma bunge wamechoma majengo ya serikali na magari. Hawajui hizi ni mali za umma. Kukija kutulia maisha yatakuwa magumu hata kuliko yalivyo. Na itachukuwa Muda.

Hasira hasara.
 
Mke wa waziri mkuu ametiwa kiberiti

Waziri wao wa fedha Kala mijeledi na kusukumizwa kwenye bomba la kinyesi

Mawaziri wanatoroshwa na chopa

Ikulu Yao imechomwa

Britanicca

Ni kweli haki inapopokwa basi kuna siku watu watadai kwa nguvu.

Hao vijana wameamua kutoka kupigania haki zao lakini wasingeharibu miundombinu na mali zote za kufuru za hao waliokuwa viongozi wao, wangeacha ili baadae zitaifishwe na kutumika kwa manufaa ya wengi.

Baada ya uharibifu huo wa miundombinu muhimu kuna safari ndefu ya kujenga upya.
 
Ila pia watu wanatakiwa wafikirie mapinduzi. Niliyapenda yale mapinduzi ya Sri Lanka. Kesho yake walirudi baada ya kuangusha utawala na kufanya usafi Ikulu waliyoivamia na kurudisha kila kitu in place.

Lakini hawa madogo wa nepal wame vandalise miundombinu mifumo ya umeme, maji na sewages. Unguza nyaya za umeme wamechoma bunge wamechoma majengo ya serikali na magari. Hawajui hizi ni mali za umma. Kukija kutulia maisha yatakuwa magumu hata kuliko yalivyo. Na itachukuwa Muda.

Hasira hasara.
Hizo ni hasira kwa waliyoyapitia kwa kipindi kirefu, hata hivyo walikosea kuchoma mali za umma..!!
 
Ila pia watu wanatakiwa wafikirie mapinduzi. Niliyapenda yale mapinduzi ya Sri Lanka. Kesho yake walirudi baada ya kuangusha utawala na kufanya usafi Ikulu waliyoivamia na kurudisha kila kitu in place.

Lakini hawa madogo wa nepal wame vandalise miundombinu mifumo ya umeme, maji na sewages. Unguza nyaya za umeme wamechoma bunge wamechoma majengo ya serikali na magari. Hawajui hizi ni mali za umma. Kukija kutulia maisha yatakuwa magumu hata kuliko yalivyo. Na itachukuwa Muda.

Hasira hasara.
Duh! Mabange Leo unaongea mambo ya maana
 
Back
Top Bottom