CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Naisubiri siku Salma Kikwete na watoto wake wanachomwa moto na Kikwete mwenywe anafungwa jela maisha na kazi ngumu
Mkuu, mtu atasomaje mazingira wakati amelewa whisky usiku mzima?Why mke wa waziri? Inamaana hiyo familia haikujia na kusoma mazingira ili kuhamisha familia mapema?
Si kodi zao, wewe inakuuma nini? Hayo majengo na magari yalikuwa na impact gani kwenye maisha yao wanepali? Jiulize Mbona hawajachoma mashule na hospitali?Ila pia watu wanatakiwa wafikirie mapinduzi. Niliyapenda yale mapinduzi ya Sri Lanka. Kesho yake walirudi baada ya kuangusha utawala na kufanya usafi Ikulu waliyoivamia na kurudisha kila kitu in place.
Lakini hawa madogo wa nepal wame vandalise miundombinu mifumo ya umeme, maji na sewages. Unguza nyaya za umeme wamechoma bunge wamechoma majengo ya serikali na magari. Hawajui hizi ni mali za umma. Kukija kutulia maisha yatakuwa magumu hata kuliko yalivyo. Na itachukuwa Muda.
Hasira hasara.
Mkuu izo ni salamu watajenga TU unajua mtu akiwa na grievances za muda mrefu..Ila pia watu wanatakiwa wafikirie mapinduzi. Niliyapenda yale mapinduzi ya Sri Lanka. Kesho yake walirudi baada ya kuangusha utawala na kufanya usafi Ikulu waliyoivamia na kurudisha kila kitu in place.
Lakini hawa madogo wa nepal wame vandalise miundombinu mifumo ya umeme, maji na sewages. Unguza nyaya za umeme wamechoma bunge wamechoma majengo ya serikali na magari. Hawajui hizi ni mali za umma. Kukija kutulia maisha yatakuwa magumu hata kuliko yalivyo. Na itachukuwa Muda.
Hasira hasara.
Ni heri kuanza mwanzo kabisa kuliko kufagilia na kutetea ufisadi kama hapo MalawiIla pia watu wanatakiwa wafikirie mapinduzi. Niliyapenda yale mapinduzi ya Sri Lanka. Kesho yake walirudi baada ya kuangusha utawala na kufanya usafi Ikulu waliyoivamia na kurudisha kila kitu in place.
Lakini hawa madogo wa nepal wame vandalise miundombinu mifumo ya umeme, maji na sewages. Unguza nyaya za umeme wamechoma bunge wamechoma majengo ya serikali na magari. Hawajui hizi ni mali za umma. Kukija kutulia maisha yatakuwa magumu hata kuliko yalivyo. Na itachukuwa Muda.
Hasira hasara.
Mke wa waziri mkuu ametiwa kiberiti
Waziri wao wa fedha Kala mijeledi na kusukumizwa kwenye bomba la kinyesi
Mawaziri wanatoroshwa na chopa
Ikulu Yao imechomwa
Britanicca
==============
Baada ya kulichoma Moto Bunge la Nchi hiyo, Waandamanaji Nchini Nepali wameichoma Nyumba wa waziri mkuu huku yeye akifanikiwa kutoroshwa na Helkopta ya Jeshi na Mke wake kujikuta amechomewa ndani ya Nyumba hiyo.
Pia soma Nyumba ya familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Bangladesh yavamiwa na waandamanaji na kuchomwa moto
Waandamanaji hao wamedai wahakujua kama Mama huyo alibakia ndani ya nyumba hiyo.
Na kwingineko waziri mpya wa Afya wa Swiden amedondoka gafla wakati akizungumza na waandishi wa Habari, siku moja tu baada ya kuteuluwa kwake.
Tanzania tutafanya zaidi ya hiloHao madogo wamekosea sana hasa kuharibu na kuchoma miundombini. Uharibifu walioufanya utachukua muda sana kuujenga kukija kutulia ndo Kwanza watazidi kuwa maskini. Yani hata magari madogo wanachomaa.
View attachment 3469290
Naisubiri siku Salma Kikwete na watoto wake wanachomwa moto na Kikwete mwenywe anafungwa jela maisha na kazi ngumu
Si wataanza kuijenga na kuirekebisha au?So hao wanepali wakimaliza kuharibu nchi yao, what comes next?!.
Umepaona libya?.Si wataanza kuijenga na kuirekebisha au?
Vitajengwa tu ila safari hio heshima kwa viongozi itakuepoHao madogo wamekosea sana hasa kuharibu na kuchoma miundombini. Uharibifu walioufanya utachukua muda sana kuujenga kukija kutulia ndo Kwanza watazidi kuwa maskini. Yani hata magari madogo wanachomaa.
View attachment 3469290
Unawafundisha cha kufanya wewe umefanya nini kwenye nchi yako?Ni kweli haki inapopokwa basi kuna siku watu watadai kwa nguvu.
Hao vijana wameamua kutoka kupigania haki zao lakini wasingeharibu miundombinu na mali zote za kufuru za hao waliokuwa viongozi wao, wangeacha ili baadae zitaifishwe na kutumika kwa manufaa ya wengi.
Baada ya uharibifu huo wa miundombinu muhimu kuna safari ndefu ya kujenga upya.