britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Nimebubujikwa na machoziMke wa waziri mkuu ametiwa kiberiti
Nchemba wao Kala mijeledi na kusukumizwa kwenye bomba la kinyesi
Mawaziri wanatoroshwa na chopa
Chamwino Yao imechomwa
Britanicca
Hapana zipo naendelea litakuwa BomuKiongozi kuna muda ulitoa ahadi ya kusimamisha taifa lakini naona mambo hayakwenda vizuri au wana mtandao walikuzunguka
Ngoja niwe nasubra kidogo.Kila la kheriHapana zipo naendelea litakuwa Bomu
NI kama ile Russia revolution ya kina Lenin waliingia Kremlin na kuua uzao wore. Kwasababu watawala walikuwaga wakila sausage na berbucue kwenye balcony huku wakiwaringia watu ambao chakula kilikuwa Shida.Why mke wa waziri? Inamaana hiyo familia haikujia na kusoma mazingira ili kuhamisha familia mapema?
KabisaNI kama ile Russia revolution ya kina Lenin waliingia Kremlin na kuua uzao wore. Kwasababu watawala walikuwaga wakila sausage na berbucue kwenye balcony huku wakiwaringia watu ambao chakula kilikuwa Shida.
Ila pia watu wanatakiwa wafikirie mapinduzi. Niliyapenda yale mapinduzi ya Sri Lanka. Kesho yake walirudi baada ya kuangusha utawala na kufanya usafi Ikulu waliyoivamia na kurudisha kila kitu in place.Haki ikikandamizwa sana watu wanatunza visasi, siku wakichoka ndo km hivyo..!!
Ila yule nchemba wa Nepal na kile kitambi kaipata fresh, wamemchapa kwenye mto huku waungwana walio nje ya mto wanamtamani atoke wampike supu 😹😹😹
Mke wa waziri mkuu ametiwa kiberiti
Waziri wao wa fedha Kala mijeledi na kusukumizwa kwenye bomba la kinyesi
Mawaziri wanatoroshwa na chopa
Ikulu Yao imechomwa
Britanicca
Hizo ni hasira kwa waliyoyapitia kwa kipindi kirefu, hata hivyo walikosea kuchoma mali za umma..!!Ila pia watu wanatakiwa wafikirie mapinduzi. Niliyapenda yale mapinduzi ya Sri Lanka. Kesho yake walirudi baada ya kuangusha utawala na kufanya usafi Ikulu waliyoivamia na kurudisha kila kitu in place.
Lakini hawa madogo wa nepal wame vandalise miundombinu mifumo ya umeme, maji na sewages. Unguza nyaya za umeme wamechoma bunge wamechoma majengo ya serikali na magari. Hawajui hizi ni mali za umma. Kukija kutulia maisha yatakuwa magumu hata kuliko yalivyo. Na itachukuwa Muda.
Hasira hasara.
Duh! Mabange Leo unaongea mambo ya maanaIla pia watu wanatakiwa wafikirie mapinduzi. Niliyapenda yale mapinduzi ya Sri Lanka. Kesho yake walirudi baada ya kuangusha utawala na kufanya usafi Ikulu waliyoivamia na kurudisha kila kitu in place.
Lakini hawa madogo wa nepal wame vandalise miundombinu mifumo ya umeme, maji na sewages. Unguza nyaya za umeme wamechoma bunge wamechoma majengo ya serikali na magari. Hawajui hizi ni mali za umma. Kukija kutulia maisha yatakuwa magumu hata kuliko yalivyo. Na itachukuwa Muda.
Hasira hasara.
When?Hapana zipo naendelea litakuwa Bomu
Naona na Malawi kumekucha acha tuone, mambo SI mambo hili ongezeko la vjn wengi kutokuwa na kipato kinachoeleweka ni balaaNI kama ile Russia revolution ya kina Lenin waliingia Kremlin na kuua uzao wore. Kwasababu watawala walikuwaga wakila sausage na berbucue kwenye balcony huku wakiwaringia watu ambao chakula kilikuwa Shida.