Mke wa waziri mkuu wazamani wa Nepal achomwa moto, yeye akimbia

Why mke wa waziri? Inamaana hiyo familia haikujia na kusoma mazingira ili kuhamisha familia mapema?
Mkuu, mtu atasomaje mazingira wakati amelewa whisky usiku mzima?
Unadhani dogo anayetuhumiwa kwa kila hujuma anaweza kusoma mazingira.?
Sasa hivi ni kula bila kunawa, tomorrow will take care of itself.
 
Si kodi zao, wewe inakuuma nini? Hayo majengo na magari yalikuwa na impact gani kwenye maisha yao wanepali? Jiulize Mbona hawajachoma mashule na hospitali?
 
Mkuu izo ni salamu watajenga TU unajua mtu akiwa na grievances za muda mrefu..

Huwa hajiuliziii mara mbili mbili ogopa sana BINADAMU akifikia stage Hana cha kupoteza
 
Ni heri kuanza mwanzo kabisa kuliko kufagilia na kutetea ufisadi kama hapo Malawi

Kuna faida gani kuwa na bunge linalofaidisha wachache ?
 

Ndiyo maana wale wahuni watu wa kwetu hawatakaa kwa ridhaa yao watamke neno haki Kwa dhati ya mioyo yao.
 
Watu wanapewa dhamana ya kuongoza wananchi wao wanatapanya rasilimali za nchi. Hii imekuwa ni Kama ugonjwa ulioenea karibu nchi zote Duniani. Dawa ipo njiani nayo ikiendelea kuenea kila pahala Duniani.
 
Kwa yanayoendelea tanzania sasa ni maji yamoto yaliyochemka huku kifuniko kikiwa kimefungwa, ni saa tu yasubiriwa mfuniko ushindwe kuhilimi mvuke na gesi iliyoko ndani ya maji yaliyochemka
 
Unawafundisha cha kufanya wewe umefanya nini kwenye nchi yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…