Nchi kama haina dini kwa maana uislamu ni mtihani sana, yani wanaishi kama wanyama tu, wapi amani itapatikana!! huku kwetu ni bahati nzuri waislamu tupo tena ni wengi zaidi ya wasio na dini, na uislamu unaendelea kukua kila siku, amani hapo lazima itawale, japo kuna wajinga wachache wanaofanya ukatili/mauwaji end of the day mnaanza oh mama anahusika, sijui huwa unapata wapi ujasiri wa kuongea kitu usicho na uhakika nacho.
Free palestine 🇵🇸