Mke wa zamani wa Bilionea Bill Gates kwenye mahusiano mapya

Mke wa zamani wa Bilionea Bill Gates kwenye mahusiano mapya

Last Seen

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
229
Reaction score
566
Mke wa zamani wa Billionea wa Microsoft Bill Gates, Bibi Melinda Gates (58) ameangukia kwenye penzi jipya na Mwana habari Jon Du Pre.

Wawili hao walionekana Kwenye mchezo wa Kikapu pamoja na muda mwingine kwenye Mapumziko Binafsi.

Kwa mujibu wa TMZ kupitia vyanzo vyao vya kuaminika inaonesha wawili hao ni wapenzi wa muda na wamekuwa wakionekana sehemu kadhaa pamoja lakini hawajaeleza ni lini walikutana.

Jon Du Pre ni mwandishi nguli wa zamani mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 35 katika utangazaji, uzalishaji wa video na uandishi.

Bill na Melinda ndoa yao ilivunjika baada ya kudumu kwa takribani miaka 25.

eff571566d7c45f3a1f205477bf03e41_md.jpg

07654345c8d44f52b767fb9ddfe6fa1d_md.png

 
Ila wazungu bwana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!uzee huo Bado anatafuta bwana [emoji16] so saad
So sad nini? Ulitaka akae mpweke kama bibi ako kijijini?

Yeye sio mtu? Hahitaji kampani? Au mnadhani mapenzi ni kutiana tu?

Tena kwa huo umri anahitaji mtu wa kupeana kampani, kuongea, moral support. Watoto wameshakuwa wakubwa wameondoka. Nyumbani umebaki peke yako.

Utakaa kama jini ufe kwa mawazo na stress?
 
wanawake hawaeleweki na hawatosheki.

watu wanasema wanawake wanapenda mwanaume mcheshi ndiyo mapenzi yatadumu, mbona Masanja Mkandamizaji pamoja na ucheshi wake wote lakini kachapiwa?
[emoji1][emoji1]mapenzi siyo ya ku-complicate..take it easy... wanawake hawaeleweki...yaani usijitie ujuaji sanaa au ukawa serious kama nini...utaumiaa...
 
Back
Top Bottom