Mke wa zamani wa Bilionea Bill Gates kwenye mahusiano mapya

Mke wa zamani wa Bilionea Bill Gates kwenye mahusiano mapya

MAISHA HAYANA FORMULA,

KIJANA TAFUTA PESA,
UKIPATA UZEENI MNACHANA!!
 
Bado anaitwa "Gates" au kwenye taraka yao kuna ka "clause" ka kubaki na majina hayo. Anyway shimo lile halijai.
 
John atapotezwa hataamini

Anatafuna hela za Bill? Yule mafia
 
Mke wa zamani wa Billionea wa Microsoft Bill Gates, Bibi Melinda Gates (58) ameangukia kwenye penzi jipya na Mwana habari Jon Du Pre.

Wawili hao walionekana Kwenye mchezo wa Kikapu pamoja na muda mwingine kwenye Mapumziko Binafsi.

Kwa mujibu wa TMZ kupitia vyanzo vyao vya kuaminika inaonesha wawili hao ni wapenzi wa muda na wamekuwa wakionekana sehemu kadhaa pamoja lakini hawajaeleza ni lini walikutana.

Jon Du Pre ni mwandishi nguli wa zamani mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 35 katika utangazaji, uzalishaji wa video na uandishi.

Bill na Melinda ndoa yao ilivunjika baada ya kudumu kwa takribani miaka 25.

Wanawake ni ushuzi. Hapo alikuwa anatafuta mtu mwingine wa kumpiga pipe very stupid
 
Back
Top Bottom