Mke wa zamani wa Bilionea Bill Gates kwenye mahusiano mapya

Wanawake hawaeleweki na hawatosheki.

Watu wanasema wanawake wanapenda mwanaume mcheshi ndiyo mapenzi yatadumu, mbona Masanja Mkandamizaji pamoja na ucheshi wake wote lakini kachapiwa?
Yaani mwanamke atoke kwa Baba ucheshi wa mwanaume ndiyo anao ufuata? Embu acha utani kwenye ndoa hivyo vitu huwa huwa ni chachandu kama hoho carrots kinachowapeleka kinajulikana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu waeleze waelewe vizuri, wengine akiwa na kazi elimu kubwa anajua kamaliza kila kitu anajaza misosi nyumbani mke yupo tu mwenyewe mwenyewe mpaka anafafana na ukuta, unazani ataacha kutafuta kichocho!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wazungu bwana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!! Uzee huo Bado anatafuta bwana [emoji16] so saad
Hana Hisia au Roho. Subiri ufike Uzeeni ndio usemee hapo. Utakuwa haufeel kupendwa au kupenda?
 
Bora umesema ukweli. Huo ni umri wa upweke mnooo, bora kajipatia mzee mwenzie waliwazane.
 
Ewaa hapo sawa kampani ya kuongea nayo,ushauri n.k mmekuelewa Sasa![emoji38][emoji38]
Binadamu tunahitaji partners wa kuishi nao.

Ndo maana ndoa zina ugomvi kila kukicha ila bado wanapeana misamaha na kuendela na maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…