Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

Ila jaman tuseme ukweli ukiona mwanaume wako anatamaniwa na mwingine kuna raha nyie,
Kuna sehem tulienda na G ,mdada akawa anamtaman anamuangalia mpaka akasogelea karibu yetu anamuangalia na wala hanionei haya mim kabisa nilijisikia raha na usiku nilitoa yote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unakua una feel aje ukiona hatamaniwi? Ndio hayahaya ya mke wa Kaka
 
Wanawake wanasema wanataka wenye hofu ya Mungu ila kiukweli wanataka wanaume amshaamsha na si wenye hofu ya Mungu.
Mimi sitaki Mwanamke mlokole sitaki hata kumsikia nataka Mwanamke amsha amsha anisumbue sumbue na mambo mengine mengine sio kunisumbua na neno la Mungu, mara mkesha wa nini sijui mara sijui nini Safari za ajabu ajabu na wanakwaya wenzie piga chini kivuruge nifuate tuvurugane Maisha yaendelee
 
Kuna bidada mmoja kipindi cha nyuma sana tulikuwa kwenye mahusiano.

Aliniweka juu sana, kwenye bonge la pedestal. Yani sijui alini fantasize kivipi.

Siku moja ikatokea kitu tukakosana. Nikawa kama nimemkasirikia kwa namna ambayo hakutegemea kwa alivyonifikiria hapo awali.

Baadaye akaja kusema kitu kilinishangaza kidogo.

Alisema amefurahi sana nilivyomkasirikia na tulivyogombana kidogo, imeonesha kuwa mimi ni mtu wa kawaida nakasirika kama watu wengine.

Alisema mwanzo kabisa alikuwa anapata mzigo sana kuwa na mahusiano nami huku akiniona mtu niliye so perfect kila kitu. Ilikuwa inampa tabu sana.

Lakini nilivyomkasirikia tukagombana ndiyo akaona afadhali kwamba huyu naye ni mtu anakasirika kama wengine.

Sasa, nilivyoona hii habari ya mke wa Kaka, nikamkumbuka huyu mwanamke.
 
Mwa
Mwanamke huwa hajui anataka nini.
 
Mwanamke akishajua yuko peke yake kwako anaanza kuwaza kwamba usikute hapa nimeingia choo cha kike, mbona hamna mtu mwingine anaelitaka hili jamaa? Ila akiona una mishemishe nyingi, mara vimeseji, simu, nk anajua yes.. hapa ndio penyewe!
 
Mkiambiwa mnapenda competition mnabishaga. Mwanamke bila kumpa wonders hakuchukulii serious. Juzi nimefumaniwa chimbo langu la JF.

Bibie alitamani ardhi ipasuke maana hajawahi kufikiria nitakuwa baharia namna ile πŸ˜‚! Nashangaa mwenzangu analia bila msiba kumbe ni mambo ya Ubuntu Botho tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...Oh kumbe we ni malaya kiasi hiki siamini mimi! Moyoni nasema hiki ndio nilikuwa nataka ujue tu ili uache uzembe kwenye majukumu yako.
 
Mwanamke akishajua yuko peke yake kwako anaanza kuwaza kwamba usikute hapa nimeingia choo cha kike, mbona hamna mtu mwingine anaelitaka hili jamaa? Ila akiona una mishemishe nyingi, mara vimeseji, simu, nk anajua yes.. hapa ndio penyewe!
Mwendo wa mvurugano ndio wanapenda hivyo sasa we umepoa tu humpi stress hapo kidogo aone hapa napambania kombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…