Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

Ila jaman tuseme ukweli ukiona mwanaume wako anatamaniwa na mwingine kuna raha nyie,
Kuna sehem tulienda na G ,mdada akawa anamtaman anamuangalia mpaka akasogelea karibu yetu anamuangalia na wala hanionei haya mim kabisa nilijisikia raha na usiku nilitoa yote ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Unakua una feel aje ukiona hatamaniwi? Ndio hayahaya ya mke wa Kaka
 
Wanawake wanasema wanataka wenye hofu ya Mungu ila kiukweli wanataka wanaume amshaamsha na si wenye hofu ya Mungu.
Mimi sitaki Mwanamke mlokole sitaki hata kumsikia nataka Mwanamke amsha amsha anisumbue sumbue na mambo mengine mengine sio kunisumbua na neno la Mungu, mara mkesha wa nini sijui mara sijui nini Safari za ajabu ajabu na wanakwaya wenzie piga chini kivuruge nifuate tuvurugane Maisha yaendelee
 
Kuna bidada mmoja kipindi cha nyuma sana tulikuwa kwenye mahusiano.

Aliniweka juu sana, kwenye bonge la pedestal. Yani sijui alini fantasize kivipi.

Siku moja ikatokea kitu tukakosana. Nikawa kama nimemkasirikia kwa namna ambayo hakutegemea kwa alivyonifikiria hapo awali.

Baadaye akaja kusema kitu kilinishangaza kidogo.

Alisema amefurahi sana nilivyomkasirikia na tulivyogombana kidogo, imeonesha kuwa mimi ni mtu wa kawaida nakasirika kama watu wengine.

Alisema mwanzo kabisa alikuwa anapata mzigo sana kuwa na mahusiano nami huku akiniona mtu niliye so perfect kila kitu. Ilikuwa inampa tabu sana.

Lakini nilivyomkasirikia tukagombana ndiyo akaona afadhali kwamba huyu naye ni mtu anakasirika kama wengine.

Sasa, nilivyoona hii habari ya mke wa Kaka, nikamkumbuka huyu mwanamke.
 
Mwa
Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka.

Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na kunipa familia inayopendeza, ila sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kinakosekana. Tatizo kubwa ni kwamba Kaka alikuwa mkamilifu (mwema) sana kwangu".

Mchezaji wa zamani wa Brazil, AC Milan na Real Madrid, na mshindi wa Kombe la Dunia mwaka 2002, Ricardo Kaka alikuwa mlokole aliyempenda sana Yesu na kuishi maisha mema. Kaka hakuwa na drama kwa mke wake wala kashfa yoyote ya kuwa na kamchepuko huko nje. Sasa hapo inakuja mambo ya 50/50.

My take: Wanaume wakamilifu katika uchumba na ndoa wanasalitiwa sana na wake zao/ wachumba zao. Inaonekana wanawake wanadumu zaidi kwenye mahusiano ya kiuonevu ( toxic relationships) kuliko mahusiano yaliyotulia ( stable relationships). Wanawake wanasema wanataka wenye hofu ya Mungu ila kiukweli wanataka wanaume amshaamsha na si wenye hofu ya Mungu.
Mwanamke huwa hajui anataka nini.
 
Mwanamke akishajua yuko peke yake kwako anaanza kuwaza kwamba usikute hapa nimeingia choo cha kike, mbona hamna mtu mwingine anaelitaka hili jamaa? Ila akiona una mishemishe nyingi, mara vimeseji, simu, nk anajua yes.. hapa ndio penyewe!
 
Ila jaman tuseme ukweli ukiona mwanaume wako anatamaniwa na mwingine kuna raha nyie,
Kuna sehem tulienda na G ,mdada akawa anamtaman anamuangalia mpaka akasogelea karibu yetu anamuangalia na wala hanionei haya mim kabisa nilijisikia raha na usiku nilitoa yote ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mkiambiwa mnapenda competition mnabishaga. Mwanamke bila kumpa wonders hakuchukulii serious. Juzi nimefumaniwa chimbo langu la JF.

Bibie alitamani ardhi ipasuke maana hajawahi kufikiria nitakuwa baharia namna ile ๐Ÿ˜‚! Nashangaa mwenzangu analia bila msiba kumbe ni mambo ya Ubuntu Botho tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚...Oh kumbe we ni malaya kiasi hiki siamini mimi! Moyoni nasema hiki ndio nilikuwa nataka ujue tu ili uache uzembe kwenye majukumu yako.
 
Mwanamke akishajua yuko peke yake kwako anaanza kuwaza kwamba usikute hapa nimeingia choo cha kike, mbona hamna mtu mwingine anaelitaka hili jamaa? Ila akiona una mishemishe nyingi, mara vimeseji, simu, nk anajua yes.. hapa ndio penyewe!
Mwendo wa mvurugano ndio wanapenda hivyo sasa we umepoa tu humpi stress hapo kidogo aone hapa napambania kombe
 
Back
Top Bottom