Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

Hizi nguvu zitumie kwenye uwekezaji mkuu ,kuchapiwa kupo pale pale .
 
😂😂😂😂 kuna raha flan hivi
 
K
Wa koo za simba tushaelewa alikikosa nini.

Hiyo huwepo pande zote mbili. Kuna wanawake pis hawataki mambo hayo ndio wanaume wanasaliti.

Uzuri ni kua, koo za simba hatuna tatizo hilo.
Koo za simba ndo nini?
 
Ni pale mwana wa Mungu anapooa mwana wa ibilisi, "Wana wa Mungu ni dhahiri na wana wa ibilisi pia" 1Yohana 3:10
 
Kaka's ex-wife on why she divorced him back in 2015... "Kaka never betrayed me. He treated me well, he gave me a wonderful family." "But I was not happy... something was missing. The problem was, he was too perfect for me."
 
Sometimes wanawake inatulazimu kuwatendea sivyo.Kuwadanganya,kuwapiga kidogo,kuchepuka na umafia mwingine.Wakati tunawatendea hayo,wao kimoyo moyo hufurahia,wanaona kweli wana wanaume thabiti.Kujifanya wana kondoo kwetu kunawachosha wanawake.

Hutakiwi kuwa 💯 perfect kwa mwanamke yeyote yule.
 
Wanawake wanapenda hekaheka na drama kama zote sasa ukiwa nice man wanakuona kama ke mwenzao, suluhisho ni kuchangamka kidogo na usisomeke unakiwasha mda wowote
 
Inategemea. Sio wanawake wote, ila asilimia kubwa ya wanawake wanapenda wanaume watundu watundu, sijui inahusiana vipi na mapenzi na kwa wanaume asilimia kubwa ya wanaume wanapenda wanawake Wapole ata kwa kupretend ukijifanya mpole unapewa ndoa...
 
Kuna mdada alinambia eti ye na mme kabla hawajanjunjana wanasali kwanza, sasa ukisali kuna kuzama chumvini kweli? Na mambo mengine mchanganyiko???🙄
Maisha hajawahi kuwa sawa kwa wote.
Mwanamke anayejua michezo yote ya kitandani huwa ni maalumu kwa starehe tu
 
presha imepanda kichwa kinamuuma nusu afe[emoji23] ! Basi utumiege kinga usije ukatuua familia na magonjwa maana siwezi kukuzuia kwa hilo nikasema hiii!!! Mbuzi kafia kwa muuza supu...
Nishakula Ke semi trela 2, hakuna hata Ke mmoja aliyewahi kunihimiza nitumie kondomu tukitaka kunyaduana, akili ni wewe Me mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…