Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

Aaahaaaa

Miye huwa nageuza kwa nyuma napiga kama naua

Kuna mpka nabaka,anaksirika asubuhi ikifika jioni tunacheka

Kikubwa fanya yote but don't cross the forbidden line

Akiniambia nimfunge sidiria Kuna 80% ya mtu kuchezea paipu from behind

Na hivi kitanda changu kipilo juu usawa wa kiuno

Hapo ni kumsukumia kitandani tu na kumbana shingo ni mwendo wa kumparachute tu
Hizi nguvu zitumie kwenye uwekezaji mkuu ,kuchapiwa kupo pale pale .
 
Mkiambiwa mnapenda competition mnabishaga. Mwanamke bila kumpa wonders hakuchukulii serious. Juzi nimefumaniwa chimbo langu la JF.

Bibie alitamani ardhi ipasuke maana hajawahi kufikiria nitakuwa baharia namna ile 😂! Nashangaa mwenzangu analia bila msiba kumbe ni mambo ya Ubuntu Botho tu 😂😂😂...Oh kumbe we ni malaya kiasi hiki siamini mimi! Moyoni nasema hiki ndio nilikuwa nataka ujue tu ili uache uzembe kwenye majukumu yako.
😂😂😂😂 kuna raha flan hivi
 
Ni pale mwana wa Mungu anapooa mwana wa ibilisi, "Wana wa Mungu ni dhahiri na wana wa ibilisi pia" 1Yohana 3:10
 
Kaka's ex-wife on why she divorced him back in 2015... "Kaka never betrayed me. He treated me well, he gave me a wonderful family." "But I was not happy... something was missing. The problem was, he was too perfect for me."
 
Sometimes wanawake inatulazimu kuwatendea sivyo.Kuwadanganya,kuwapiga kidogo,kuchepuka na umafia mwingine.Wakati tunawatendea hayo,wao kimoyo moyo hufurahia,wanaona kweli wana wanaume thabiti.Kujifanya wana kondoo kwetu kunawachosha wanawake.

Hutakiwi kuwa 💯 perfect kwa mwanamke yeyote yule.
 
Wanawake wanapenda hekaheka na drama kama zote sasa ukiwa nice man wanakuona kama ke mwenzao, suluhisho ni kuchangamka kidogo na usisomeke unakiwasha mda wowote
 
Inategemea. Sio wanawake wote, ila asilimia kubwa ya wanawake wanapenda wanaume watundu watundu, sijui inahusiana vipi na mapenzi na kwa wanaume asilimia kubwa ya wanaume wanapenda wanawake Wapole ata kwa kupretend ukijifanya mpole unapewa ndoa...
 
Kuna mdada alinambia eti ye na mme kabla hawajanjunjana wanasali kwanza, sasa ukisali kuna kuzama chumvini kweli? Na mambo mengine mchanganyiko???🙄
Maisha hajawahi kuwa sawa kwa wote.
Mwanamke anayejua michezo yote ya kitandani huwa ni maalumu kwa starehe tu
 
presha imepanda kichwa kinamuuma nusu afe[emoji23] ! Basi utumiege kinga usije ukatuua familia na magonjwa maana siwezi kukuzuia kwa hilo nikasema hiii!!! Mbuzi kafia kwa muuza supu...
Nishakula Ke semi trela 2, hakuna hata Ke mmoja aliyewahi kunihimiza nitumie kondomu tukitaka kunyaduana, akili ni wewe Me mwenyewe.
 
Back
Top Bottom