Mke wako huwa anaoshwa miguu na kijana wake wa kutengeneza kucha?

Mke wako huwa anaoshwa miguu na kijana wake wa kutengeneza kucha?

Hizo ndio Faida za kuoa mwanamke asijielewa yani mtu kwa akilizako unashidwa kuosha miguu yako ambayo tangu umezaliwa unayo. tena somo lenyewe la jinsi ya kuosha miguu na kupaka rangi unajifunza hata siku mbili haishi umeelewa.kwa mlioa wanawake wasiojiongeza mnatabu sana, binafsi mlioa siwashauli muanze kujifunza kuosha na kupaka rangi miguu bali muwafanye wake zenu waanze Kujielewe na kujitambua. kumbukeni ''KINGA NI BORA KULIKO TIBA'' haya leo unamuosha miguu kwa vile hupo nyumbani....haya je, siku umesafili kikazi nani atamwosha?....... 🏃😎
Kuoshwa miguu ni kilevi kama vile unavyoenda bar kunywa pombe na siyo kunywea nyumbani. Pale mama anaenda kupata starehe asiyoipata nyumbani. chunga saana.
 
Kuna jimama nililiosha miguu lina mipaja mikubwa myeupee baada ya muda nikaligusa ki2mbua kwa utani likaubana mkono usitoke nikatoa gobole nikamtwanga nalo ikawa ndo mchezo hii dunia hadaa
Sema tangawizi iko kwa mbali
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi mke wangu mambo ya kipuuzi kama hayo ya kuoshwa miguu na kupakwa kucha rangi akifanyiwa ndio itakuwa talaka yake.
Mambo mengine yanatokea kwa ujinga wa mwanaume
Acha wivu wa kike..kizuri kula na wenzio
 
Back
Top Bottom