Mke wako ni mzuri sana ni kwa vile tu umemzoea sana

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,778
Reaction score
8,232
.

Wanaume wenzangu

Mke wako anawezaje kuonekana mbichi na mrembo kama mchepuko wako huyo na wakati umemzalisha watoto na amejifungua mara 5,Umempeleka leba (labour) mara 5 amenyonyesha kwa awamu 5 ya vizazi vitano vyenye umri tofauti tofauti, pamoja na Masumbufu ya kulea na kuhudumia watoto wako hao watano hadi wengine wamefikisha miaka 20!??

Yale mabasi ya njano kila siku anakimbizana nayo asubuhi na jioni kuhakikisha wanao wanaenda shule na kurudi salama nyumbani,anawapikia watoto wako hao watano wote kila siku .Amekuwa nao hospital kwa miaka miaka ,amelala macho siku nyingi watoto wako wanapougua usiku.Kelele na usumbufu wa watoto wako na wengine wakiwa wakorofi wote aliwavumilia! Mkeo ni bora kuliko huyo Mchepuko (side Chick)

Umempa mimba 5 kwa vipindi mfululizo na zingine alijifungua kwa kisu,je unataka awe mrembo kwenye tumbo lake kama huyo mchepuko wako?? Kifua chake ndicho chakula cha watoto wako hao watano hakiwezi kikawa l sawa na cha huyo mchepuko ambaye kila akipata mimba anazitoa na P-2 ndicho chakula chake , kapitia mengi akiwa mjamzito mara kutapika,mara mgongo uume ,mara adondoke ,mara atokwe damu nyingi ,mara skate tamaa ya kuishi na wakati mwingine alinusurika kufa wakati akijifungua ,hayo yote huyakumbuki ,unalokumbuka tu ni kwamba yeye siyo mrembo na mzuri (romantic) kama mchepuko wako! Kumbuka hata huyo mchepuko anaonekana mzuri kwakuwa hauishi naye!

Haya tufanye hivi,Mchukue huyo mchepuko wako mlete kwenye majukumu ya mke wako uone kama atayaweza hata kwa wiki mojaal! Wanaume wenzangu tujifunze kuwaheshimu wake zetu wanapitia magumu mengi na wanatifanyia mambo mengi mazuri ambayo hiyo michepuko haiwezi hata kidogo!

Maisha ya ndoa siyo NGONO tu yamebeba mambo mengi sana ,heshimu sana huyo mkeo maana anakulelea watoto wako ambao ni damu yako jambo ambalo kamwe huliwezi na usingeliweza pekee yako!

Usisahau alivyokuwa wakati unamchumbia ,kisha mwangalie alivyo kwa sasa ! Hali aliyonayo kwa sababu wewe umechangia maana wanawake hubadilika wanapojifungua na kadiri maisha yanavyozidi kusonga mbele.

God bless every hardworking mother, wife and to all the caring husband's.

Mungu awabariki wamama wote ,wake wa waume wasiowatesa waume zao ,wasioona haya kuwafanyia mema waume zao.

Ujumbe wangu upo kwenye 1 Wakorintho 7 :1-7 Wanawake msiwanyime TENDO LA NDOA waume zenu maana huo ndio udhaifu wao mkubwa!
 
Kuna kitu mungu alituwekea, kukinai ama mazoea. Utatamani biriani ila ukila mwezi mzima umefululiza utakinai.

Ni kweli wake zetu ni wazurii ndio maana tukawaoa, mpaka kumuoa maana yake kuna jambo lilikuvutia kwake, mengine ni mapungufu tu ya kibinadamu.
 
Huu ujumbe ulitakiwa utubless nao women’s day lakini sio mbaya bado ni mwezi wetu wanawake.. !! Asante sana kwa kutambua mchango wa mwanamke haswa upande wa wanandoa igweeeeeeee 😍
 
.

Wanaume wenzangu

Mke wako anawezaje kuonekana mbichi na mrembo kama mchepuko wako huyo na wakati umemzalisha watoto na amejifungua mara 5,Umempeleka leba (labour) mara 5 amenyonyesha kwa awamu 5 ya vizazi vitano vyenye umri tofauti tofauti, pamoja na Masumbufu ya kulea na kuhudumia watoto wako hao watano hadi wengine wamefikisha miaka 20!??

Yale mabasi ya njano kila siku anakimbizana nayo asubuhi na jioni kuhakikisha wanao wanaenda shule na kurudi salama nyumbani,anawapikia watoto wako hao watano wote kila siku .Amekuwa nao hospital kwa miaka miaka ,amelala macho siku nyingi watoto wako wanapougua usiku.Kelele na usumbufu wa watoto wako na wengine wakiwa wakorofi wote aliwavumilia! Mkeo ni bora kuliko huyo Mchepuko (side Chick)

Umempa mimba 5 kwa vipindi mfululizo na zingine alijifungua kwa kisu,je unataka awe mrembo kwenye tumbo lake kama huyo mchepuko wako?? Kifua chake ndicho chakula cha watoto wako hao watano hakiwezi kikawa l sawa na cha huyo mchepuko ambaye kila akipata mimba anazitoa na P-2 ndicho chakula chake , kapitia mengi akiwa mjamzito mara kutapika,mara mgongo uume ,mara adondoke ,mara atokwe damu nyingi ,mara skate tamaa ya kuishi na wakati mwingine alinusurika kufa wakati akijifungua ,hayo yote huyakumbuki ,unalokumbuka tu ni kwamba yeye siyo mrembo na mzuri (romantic) kama mchepuko wako! Kumbuka hata huyo mchepuko anaonekana mzuri kwakuwa hauishi naye!

Haya tufanye hivi,Mchukue huyo mchepuko wako mlete kwenye majukumu ya mke wako uone kama atayaweza hata kwa wiki mojaal! Wanaume wenzangu tujifunze kuwaheshimu wake zetu wanapitia magumu mengi na wanatifanyia mambo mengi mazuri ambayo hiyo michepuko haiwezi hata kidogo!

Maisha ya ndoa siyo NGONO tu yamebeba mambo mengi sana ,heshimu sana huyo mkeo maana anakulelea watoto wako ambao ni damu yako jambo ambalo kamwe huliwezi na usingeliweza pekee yako!

Usisahau alivyokuwa wakati unamchumbia ,kisha mwangalie alivyo kwa sasa ! Hali aliyonayo kwa sababu wewe umechangia maana wanawake hubadilika wanapojifungua na kadiri maisha yanavyozidi kusonga mbele.

God bless every hardworking mother, wife and to all the caring husband's.

Mungu awabariki wamama wote ,wake wa waume wasiowatesa waume zao ,wasioona haya kuwafanyia mema waume zao.

Ujumbe wangu upo kwenye 1 Wakorintho 7 :1-7 Wanawake msiwanyime TENDO LA NDOA waume zenu maana huo ndio udhaifu wao mkubwa!
Hongera sana kwa hoja,nakuunga mkono mia kwa mia
 
Huu ujumbe ulitakiwa utubless nao women’s day lakini sio mbaya bado ni mwezi wetu wanawake.. !! Asante sana kwa kutambua mchango wa mwanamke haswa upande wa wanandoa igweeeeeeee 😍
Siku ya women's day wife alisema mbele ya watoto "You have all been inside me" yule mkubwa ndo kamaliza form 4 akamuuliza "hata baba", wife akasema "Ndio". Nilicheka sana hio siku, wakubwa tu wataelewa.
 
.

Wanaume wenzangu

Mke wako anawezaje kuonekana mbichi na mrembo kama mchepuko wako huyo na wakati umemzalisha watoto na amejifungua mara 5,Umempeleka leba (labour) mara 5 amenyonyesha kwa awamu 5 ya vizazi vitano vyenye umri tofauti tofauti, pamoja na Masumbufu ya kulea na kuhudumia watoto wako hao watano hadi wengine wamefikisha miaka 20!??

Yale mabasi ya njano kila siku anakimbizana nayo asubuhi na jioni kuhakikisha wanao wanaenda shule na kurudi salama nyumbani,anawapikia watoto wako hao watano wote kila siku .Amekuwa nao hospital kwa miaka miaka ,amelala macho siku nyingi watoto wako wanapougua usiku.Kelele na usumbufu wa watoto wako na wengine wakiwa wakorofi wote aliwavumilia! Mkeo ni bora kuliko huyo Mchepuko (side Chick)

Umempa mimba 5 kwa vipindi mfululizo na zingine alijifungua kwa kisu,je unataka awe mrembo kwenye tumbo lake kama huyo mchepuko wako?? Kifua chake ndicho chakula cha watoto wako hao watano hakiwezi kikawa l sawa na cha huyo mchepuko ambaye kila akipata mimba anazitoa na P-2 ndicho chakula chake , kapitia mengi akiwa mjamzito mara kutapika,mara mgongo uume ,mara adondoke ,mara atokwe damu nyingi ,mara skate tamaa ya kuishi na wakati mwingine alinusurika kufa wakati akijifungua ,hayo yote huyakumbuki ,unalokumbuka tu ni kwamba yeye siyo mrembo na mzuri (romantic) kama mchepuko wako! Kumbuka hata huyo mchepuko anaonekana mzuri kwakuwa hauishi naye!

Haya tufanye hivi,Mchukue huyo mchepuko wako mlete kwenye majukumu ya mke wako uone kama atayaweza hata kwa wiki mojaal! Wanaume wenzangu tujifunze kuwaheshimu wake zetu wanapitia magumu mengi na wanatifanyia mambo mengi mazuri ambayo hiyo michepuko haiwezi hata kidogo!

Maisha ya ndoa siyo NGONO tu yamebeba mambo mengi sana ,heshimu sana huyo mkeo maana anakulelea watoto wako ambao ni damu yako jambo ambalo kamwe huliwezi na usingeliweza pekee yako!

Usisahau alivyokuwa wakati unamchumbia ,kisha mwangalie alivyo kwa sasa ! Hali aliyonayo kwa sababu wewe umechangia maana wanawake hubadilika wanapojifungua na kadiri maisha yanavyozidi kusonga mbele.

God bless every hardworking mother, wife and to all the caring husband's.

Mungu awabariki wamama wote ,wake wa waume wasiowatesa waume zao ,wasioona haya kuwafanyia mema waume zao.

Ujumbe wangu upo kwenye 1 Wakorintho 7 :1-7 Wanawake msiwanyime TENDO LA NDOA waume zenu maana huo ndio udhaifu wao mkubwa!
Ndoa ni mpango Mtakatifu tangu mwanzo, ni ujumbe mwema utokao kwa baba, yahitajika hekima kuitunza, hadi kifo kiwatenganishe,

Mpendane, msichokozane na amani ya bwani iwe pamoja nanyi sasa, daima na milele Aimen,

Kwajina La Baba, Mwana na Roho Mtakatifu 🙏
 
Amina
 
The secret of a long, happy, successful and satisfying marriage is to stay obsessed with your partner. Kila siku mfanye aonekane kuwa ni mpya kwako, na mpende kuliko ulivyompenda jana yake. Kama anajitambua, hakuna dhoruba itakayopweleza jahazi lenu 📌😘😘😘

20250317_095709.jpg
 
Mkuu hayo ni sehemu ya majukumu ya kawaida sana kwa mwanamke ambaye ni mke au mama.

Na mengi umeyataja hapo anaweza kuyafanya kwa sababu ya jitihada za mume wake za kutafuta pesa

Simps mnapenda sana kutafuta huruma za wanawake

By the way mwanaume makini hata awe na mchepuko family always comes
first​
 
Natafuta mke mzuri kwa ajili ya wanangu

Then sasa natafuta mwanamke mwenye nyash ya kutosha kwa ajili yangu
 
.

Wanaume wenzangu

Mke wako anawezaje kuonekana mbichi na mrembo kama mchepuko wako huyo na wakati umemzalisha watoto na amejifungua mara 5,Umempeleka leba (labour) mara 5 amenyonyesha kwa awamu 5 ya vizazi vitano vyenye umri tofauti tofauti, pamoja na Masumbufu ya kulea na kuhudumia watoto wako hao watano hadi wengine wamefikisha miaka 20!??

Yale mabasi ya njano kila siku anakimbizana nayo asubuhi na jioni kuhakikisha wanao wanaenda shule na kurudi salama nyumbani,anawapikia watoto wako hao watano wote kila siku .Amekuwa nao hospital kwa miaka miaka ,amelala macho siku nyingi watoto wako wanapougua usiku.Kelele na usumbufu wa watoto wako na wengine wakiwa wakorofi wote aliwavumilia! Mkeo ni bora kuliko huyo Mchepuko (side Chick)

Umempa mimba 5 kwa vipindi mfululizo na zingine alijifungua kwa kisu,je unataka awe mrembo kwenye tumbo lake kama huyo mchepuko wako?? Kifua chake ndicho chakula cha watoto wako hao watano hakiwezi kikawa l sawa na cha huyo mchepuko ambaye kila akipata mimba anazitoa na P-2 ndicho chakula chake , kapitia mengi akiwa mjamzito mara kutapika,mara mgongo uume ,mara adondoke ,mara atokwe damu nyingi ,mara skate tamaa ya kuishi na wakati mwingine alinusurika kufa wakati akijifungua ,hayo yote huyakumbuki ,unalokumbuka tu ni kwamba yeye siyo mrembo na mzuri (romantic) kama mchepuko wako! Kumbuka hata huyo mchepuko anaonekana mzuri kwakuwa hauishi naye!

Haya tufanye hivi,Mchukue huyo mchepuko wako mlete kwenye majukumu ya mke wako uone kama atayaweza hata kwa wiki mojaal! Wanaume wenzangu tujifunze kuwaheshimu wake zetu wanapitia magumu mengi na wanatifanyia mambo mengi mazuri ambayo hiyo michepuko haiwezi hata kidogo!

Maisha ya ndoa siyo NGONO tu yamebeba mambo mengi sana ,heshimu sana huyo mkeo maana anakulelea watoto wako ambao ni damu yako jambo ambalo kamwe huliwezi na usingeliweza pekee yako!

Usisahau alivyokuwa wakati unamchumbia ,kisha mwangalie alivyo kwa sasa ! Hali aliyonayo kwa sababu wewe umechangia maana wanawake hubadilika wanapojifungua na kadiri maisha yanavyozidi kusonga mbele.

God bless every hardworking mother, wife and to all the caring husband's.

Mungu awabariki wamama wote ,wake wa waume wasiowatesa waume zao ,wasioona haya kuwafanyia mema waume zao.

Ujumbe wangu upo kwenye 1 Wakorintho 7 :1-7 Wanawake msiwanyime TENDO LA NDOA waume zenu maana huo ndio udhaifu wao mkubwa!
Ulivyoandika tu hard working ndio umeharibu

Kazi kubwa na kuu kuliko yote ya mke ni kumtii na kumheshimu mumewe, mengine yote ni ya ziada tu.

Baada ya utii na heshima sasa ndio mume anaanza kuhesabiwa makosa, nje ya hapo mume will always be on the right.
 
Kuna wengine walishikishwa baada ya kuwapa mimba

Sio wote walio owa walioa wanawake wawapendao, wengne ilikua ni one night na sku iyo iyo mimba ikabidi waoe wanawake ambao sio machaguo yao

So acha kutushauri vtu vya ajabu
 
Back
Top Bottom