Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,789
- 22,756
---God bless every hardworking mother, wife and to all the caring husband's.
My take:
- Boyz II Men - A Song For Mama
---God bless every hardworking mother, wife and to all the caring husband's.
Minaongezea:Kama umekosea kunukuu vilee, em fungua biblia yako au kwakuwa umeongeza mbwembwe zako kutilia mkazo
"Mume atimize wajibu wake wa ndoa kwa mkewe; na hali kadhalika mke kwa mumewe. Kwa maana mke hatawali mwili wake mwenyewe, bali mume wake ndiye autawalaye. Vivyo hivyo, mume hatwali mwili wake mwenyewe, bali mkewe ndiye anayeutawala. Msinyimane, isipokuwa kama mmekubaliana kufanya hivyo kwa muda mfupi ili muwe na nafasi nzuri ya maombi. Lakini baada ya muda huo rudianeni tena shetani asije akapata nafasi ya kuwajaribu kwa sababu ya kushindwa kujizuia."
Unaumwa.... 🤣 🤣 🤣 🤣Mtu asije akamgusa Kalpana wanguView attachment 3273801