Mke wako ni mzuri sana ni kwa vile tu umemzoea sana

safi sana kwa kutukumbusha, weka acc number tukupe ya maji 😎
 
Kama umekosea kunukuu vilee, em fungua biblia yako au kwakuwa umeongeza mbwembwe zako kutilia mkazo
Minaongezea:

Katika 1 Wakorintho 7:3-5, inasema:

 
Mke wangu nampenda sana , na namuheshimu kwa kweli sijutii ndoa yangu ila sasa ukishamzoea mtu kwa kweli shida ndo inapoanzia !

Wanaume sisi hatubadiliki sana miili labda tabia uwe mzembe mzembe ! Ila sasa hawa upande wa pili akisharidhika kitambi hicho , ziwa mwaaa , kuna michirizi πŸ˜‚

Mimi nimemuoa ilikua ni mali kwa kweli sasa mambo lazima yabadilike mtoto mmoja kwisha !

Lakini heshima ya mke ni kubwa sana ! Ugomvi uko kwenye kwenda mazoezini πŸ˜‚ mimi kila siku naenda ila yeye ukizungumzia tu hizo issue hapendi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…