Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na sio kwa mama au bibi fulani

Kweli nyakati hizi ni ngumu.Niangaike kutafuta pesa na niangaike jina kukuza.hizo maada peleka huko pumbavuu weee

Kuna kiwango ukifika Mkeo atatumia jin Lako Kwa kupenda au kutokupenda.
Aidha Watu wamuite hivyo au yeye mwenyewe ajiite hivyo.
Lakini kama hujafikia huo utukufu siô dhambi mkuu
 
Kwaiyo unatushauri tuanze kushindana kutafuta umaarufu na wake zetu mtaani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…