Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na sio kwa mama au bibi fulani

Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na sio kwa mama au bibi fulani

Kuna watu mnapata shida sana na vitu vidogo dogo tu.Mnapenda kukuza jambo..mm kwangu panatambulika kwa mama masanja maana kuna frem pale na mke wangu ana duka pale kwa hiyo wateja mm hata hawanifaham wamezoea jina la mke wangu mpaka boda boda ukiulizia jina langu ni shida ila ulizia hata vitue vitatu nyuma naenda kwa mama masanja fasta tu unapelekwa bila hata kuelekeza.Kuna vitu mnavipa umuhim lakini ni vidogo sana.Nyumba nyingi mtaani zinatambulika kwa majina ya wanawake maana wao ndo washinda nyumbani.
Watu wanataka washindane umaarufu na wake zao
 
Kwaiyo unatushauri tuanze kushindana kutafuta umaarufu na wake zetu mtaani?

Ukishakuwa responsible Man and father automatically huo Mtaa lazima wajue Mji Fulani NIwa Mzee Fulani.

Umaarufu unajengwa na mchango wako chanya kwèñye familia yako na Mtaa unaoishi
 
Back
Top Bottom