Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
- Thread starter
- #21
Mbona shobo sana we mayoKiduku Lilo a.k.a Bill Lugano humfikii hata robo. We hata kuweka viungo na kuchanganganya sawasawa kwenye hizi chai zako unashindwa. Hovyo tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona shobo sana we mayoKiduku Lilo a.k.a Bill Lugano humfikii hata robo. We hata kuweka viungo na kuchanganganya sawasawa kwenye hizi chai zako unashindwa. Hovyo tu!
Ngishagūnkwela wiswe ū Adelina. Alīnidako litale?Mbona shobo sana we mayo
Lu.....s..h..I.. n.do geteNgishagūnkwela wiswe ū Adelina. Alīnidako litale?
L...w...a......n.....o.....k....o!Lu.....s..h..I.. n.do gete
Unaitwaje? Mbona mnakalilishwa vitu ambavyo hamuvijui?mnaposema mental health classify wether mania,hebephrenic, catatonic schizophrenia nyie hovyo kabisaHuu pia ni ugonjwa wa akili.
Schizophrenia we
Unaumwa Derealization Disorder, kindly check the Doc. Near you.Unaitwaje? Mbona mnakalilishwa vitu ambavyo hamuvijui?mnaposema mental health classify wether mania,hebephrenic, catatonic schizophrenia nyie hovyo kabisa
Hii ichemshwe, ikatwe vipande vidogo vidogo halafu unaikaanga na kuimwagia wine au whiskey. Ni tamu sana bahati mbaya kwa mila zetu wanawake hawaruhusiwi kula.
Man! Weka akiba ya maneno!Good morning!
Huyu mwanamke nampenda sana na wala mpaka sasa sijaamini kwanini yupo na mimi aisee, jinsi mimi nikijiangalia wala hata siamini kabisa japo mimi naishi Marekani na ako pesa za kubadilishia mboga lakini siamini kabisa.
Mke wangu Adelina Kimambo kwanza ametokea familia ya kitajiri na yenye pesa sana kuizidi familia ya x wangu. Yenye alikuwa Mkerewe ila ni mnafiki, 'low standard', danga na ana uchawa fulani wa kijinga sana.
Mke wangu Adelina Kimambo ni msomi na ana PhD ya mambo ya moyo, kwa maana ni Cardiologist Bachelor Degree, amesomea University of Oxford, Masters amesomea University of Calfonia na PhD amechukulia Cambridge University huko Uingereza na anafanya kazi hospital ya Laurie's Children Hospital huko Chicago.
Mke wangu anamiliki gari tatu na appartment za kutosha sana huko huku Missouri na Minnesota.
Wakuu leo ninaondoka Qatar narejea Marekani kuna dharura imetokea ofisini kwangu Marekani, so nikasha solve nitaenda kwenye fungate sehemu nyingine, kwa maana nitaelekea Barbados 🇧🇧 kwenye fungate nikamalizie mwezi huku.
Nawasilisha wakuu.

Good morning!

Kiduku Lilo a.k.a Bill Lugano humfikii hata robo. We hata kuweka viungo na kuchanganganya sawasawa kwenye hizi chai zako unashindwa. Hovyo tu!