Mke wangu Adelina Kimambo

Mke wangu Adelina Kimambo

Huu pia ni ugonjwa wa akili.
Unaitwaje? Mbona mnakalilishwa vitu ambavyo hamuvijui?mnaposema mental health classify wether mania,hebephrenic, catatonic schizophrenia nyie hovyo kabisa
 
Chai kavu hainogi
JamiiForums-375862122.jpg
 
Unaitwaje? Mbona mnakalilishwa vitu ambavyo hamuvijui?mnaposema mental health classify wether mania,hebephrenic, catatonic schizophrenia nyie hovyo kabisa
Unaumwa Derealization Disorder, kindly check the Doc. Near you.

Lubumbashi niache bwana mi staki hizi mambo😂
 
Good morning!

Huyu mwanamke nampenda sana na wala mpaka sasa sijaamini kwanini yupo na mimi aisee, jinsi mimi nikijiangalia wala hata siamini kabisa japo mimi naishi Marekani na ako pesa za kubadilishia mboga lakini siamini kabisa.

Mke wangu Adelina Kimambo kwanza ametokea familia ya kitajiri na yenye pesa sana kuizidi familia ya x wangu. Yenye alikuwa Mkerewe ila ni mnafiki, 'low standard', danga na ana uchawa fulani wa kijinga sana.

Mke wangu Adelina Kimambo ni msomi na ana PhD ya mambo ya moyo, kwa maana ni Cardiologist Bachelor Degree, amesomea University of Oxford, Masters amesomea University of Calfonia na PhD amechukulia Cambridge University huko Uingereza na anafanya kazi hospital ya Laurie's Children Hospital huko Chicago.

Mke wangu anamiliki gari tatu na appartment za kutosha sana huko huku Missouri na Minnesota.

Wakuu leo ninaondoka Qatar narejea Marekani kuna dharura imetokea ofisini kwangu Marekani, so nikasha solve nitaenda kwenye fungate sehemu nyingine, kwa maana nitaelekea Barbados 🇧🇧 kwenye fungate nikamalizie mwezi huku.

Nawasilisha wakuu.
Man! Weka akiba ya maneno!
 
Kizazi cha kenge. Hivi hao ndugu wa mkeo wakisoma uzi wako wanakuonaje?
Screenshot_20221119-213553_WhatsApp.jpg

Back
Top Bottom