Ighombe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 1,181
- 675
BIG UUUUUP! Huu ndio ushauri unaotakiwa jf ili jukwaa liwe kweli la geat thinkers. nimefurahi sana mambo mengine hayahitaji utani. Wengine tulijiunga huku tukijua ni home of great thinkers. Wanaokejeli natamani niwa-mfyuuuuu. nadhani ni hii njaa ugali bado sijapata.I'll ni Tatizo Mkuu linatokana na moyo kushindwa Ku maintain blood flow katika ubongo,kumbuka mwanamke anapo fika kileleni damu nyingi inaelekea katika sehemu za siri yani genital area ivyo kama mzunguko wake wa damu usipo kuwa vizuri inapelekea brain au ubongo wake kukosa oxygen kutokana na bad blood flow ivyo anapoteza fahamu
Ushauri
Akaangalie mapigo ya moyo wake usijione mwanaume wa shoka