Mke wangu akifika kileleni anazimia

Mke wangu akifika kileleni anazimia

I'll ni Tatizo Mkuu linatokana na moyo kushindwa Ku maintain blood flow katika ubongo,kumbuka mwanamke anapo fika kileleni damu nyingi inaelekea katika sehemu za siri yani genital area ivyo kama mzunguko wake wa damu usipo kuwa vizuri inapelekea brain au ubongo wake kukosa oxygen kutokana na bad blood flow ivyo anapoteza fahamu
Ushauri
Akaangalie mapigo ya moyo wake usijione mwanaume wa shoka
BIG UUUUUP! Huu ndio ushauri unaotakiwa jf ili jukwaa liwe kweli la geat thinkers. nimefurahi sana mambo mengine hayahitaji utani. Wengine tulijiunga huku tukijua ni home of great thinkers. Wanaokejeli natamani niwa-mfyuuuuu. nadhani ni hii njaa ugali bado sijapata.
 
Si amekwambia huwa anapata raha ya ajabu sana,basi hapo hakuna tatizo ila ni raha tu ya ajabu. Endelea kumkaza mkuu. Ila pia ingependeza zaidi ungeleta ka kideo ili tuone anavozimia na kutetemeka.
Haa Haa haa
 
No, hapana, hapana! Hapa kuna jambo la kiroho...seriously. Kama mke wako kweli wa kuhalalishwa...seek spiritual advice.
 
ecf5b76f82e1929b19ee3a81083edba1.jpg
 
Si amekwambia huwa anapata raha ya ajabu sana,basi hapo hakuna tatizo ila ni raha tu ya ajabu. Endelea kumkaza mkuu. Ila pia ingependeza zaidi ungeleta ka kideo ili tuone anavozimia na kutetemeka.
Mkuu Mungu anakuonaa...
Umefanya nicheke kwa sauti ofisini adi naulizwaa...
 
Huyo ndo mzuri jombaa, akizima unampeleka tour mjini Sodoma kisha Gomola akaone vivutio vya utalii...
 
Hiyo hali ana mda gani nayo maana kama ni kipindi kirefu basi inawezakuwa ikawa ni hali ya kawaida, lakini kama imeanza kuwepo ndani ya kipindi kifupi itabidi umpate mtaalam wa mambo ya Saikolojia apate kukusaidia zaidi.
 
Si amekwambia huwa anapata raha ya ajabu sana,basi hapo hakuna tatizo ila ni raha tu ya ajabu. Endelea kumkaza mkuu. Ila pia ingependeza zaidi ungeleta ka kideo ili tuone anavozimia na kutetemeka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah nmecheka sana..
Watu wako active hatari
 
Kitambo kidogo katika ujana hivi kuna dada niliishi nae tatizo akiwa anafika kileleni anapoteza kabisa ila hazimii yeye ni kukukaba shingo na kupigwa kucha na ukimuuliza baada ya kutulia anasema hajui na anaishia kulia na hasa akiona hizo alama alizokuachia za kucha kila mtu akiwa anafika mshindo ana namna yake ya ku "react" hiyo raha
 
Si amekwambia huwa anapata raha ya ajabu sana,basi hapo hakuna tatizo ila ni raha tu ya ajabu. Endelea kumkaza mkuu.

Ila pia ingependeza zaidi ungeleta ka kideo ili tuone anavozimia na kutetemeka.
[emoji115] [emoji115] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]
 
Ni pm nikupe dawa[emoji8] [emoji39] [emoji39]
 
Habari wana bodi,

Mke wangu ana tatizo tukifanya mapenzi sasa akiwa anakojoa huwa anazimia na kutetemeka kama nusu saa hivi sielewi nkimuuliza anasema huwa anapata raha ya ajabu, sasa sijui hili ni tatizo au?

Msaada wenu wakuu.
Kama unaona ni shida hiyo namuomba ili awe ananizimikia
 
Back
Top Bottom