Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Wapo mkuuKuna wanaume pia wananunaga tu, hata wakipata mtu mchangamfu vipi wala hawanaga bashasha kabisa, yee kichwa chake kinaqaza mipango mikubwa muda wote, anasahau kuna wakat anatakiwa kuenjoy na kufurahia na mke wake hata kwa muda mchache!! Anakuwa kauzu mpaka mama anabaki kucheza na watoto anamwacha tu baba aendelee kujenga maghorofa kichwani kwake! Mwisho wa siku wanandoa wanaanza kuishi ilimradi tu.