Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

Atleast u can make some jokes na GF wako, wengine makauzu una make some jokes anakuwa kama anaona gogo tu au bango barabarani! Kwann mwanamke asinune ssa, anakuwa bored kwakweli. Uchangamfu muhimu sana kwenye mahusiano na mmoja wenu anawezajitahd kuchangamsha mahusiano had akachoka maana hakuna anachopalilia kabisa, uchangamfu wake hauna support.

Wanawake wanatofautiana mzee. Wengine ata uwachekeshe vipi litanuna tu. Tena awa waswahili kwa kununa tu!!!!!!
 
Ataanzaje kwa mfano?!

Mara nyingi wanaume kwenye ndoa ndio huwa wanaanzaga kuweka misimamo ya kutoshika simu ya mwenza wake.

Tena wanaume wengi hupenda kusema kila mtu na simu yake tu asishike ya mwenzie [emoji108][emoji108][emoji108]

Sasa ataanzaje kuchunguza ya mkewe?

Halafu wanaume laiti wangejua?!

Unapoweka misimamo ya hivyo mwanamke mwerevu anajua okeiiiii sawa nimekuelewa baba lakini na mimi nitajua cha kufanya!

Ndio unakuta mwili mmoja lakini simu zina passcodes [emoji108][emoji108]
Hahahah hapo ni chatting za hatari na ma ex
 
Wanawake wanatofautiana mzee. Wengine ata uwachekeshe vipi litanuna tu. Tena awa waswahili kwa kununa tu!!!!!!
Kuna wanaume pia wananunaga tu, hata wakipata mtu mchangamfu vipi wala hawanaga bashasha kabisa, yee kichwa chake kinaqaza mipango mikubwa muda wote, anasahau kuna wakat anatakiwa kuenjoy na kufurahia na mke wake hata kwa muda mchache!! Anakuwa kauzu mpaka mama anabaki kucheza na watoto anamwacha tu baba aendelee kujenga maghorofa kichwani kwake! Mwisho wa siku wanandoa wanaanza kuishi ilimradi tu.
 
Kirahisi namna hiyo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lkn sijui hii imekaaje, watu wakitiana kuachana ngumu sana
Dah yaani kwa kweli jela ya hivyo siiwezi, mtu akinuna Zaidi ya mwezi na sababu haieleweki najipa break, atanifuta mnuno wake ukiisha.
 
Dah kweli, zamani ilikuwa mzee ndio bread winner mama anatulia tu kuvumilia vimbwanga vya mzee
Na hata familia haikuelewi wala hawakupokei, ukirudi nyumbani mama yako anakwambia "unadhani mimi na baba yako kila siku ni sikukuu eeh? Rudi kwako, mwanamke lazima uwe mvumilivu" anakuwa hana namna. Sasa hivi kwakuwa unakuta mwnamke ana uwezo wa kujikimu anasonga mbele kama injili.
 
Kuna uzi mdada alitoa mada kuwa amenswa akichaji na mtu wasiyejuana kwani yuko nje ya nchi.
Akaeleza kuwa hajawahi chepuka lakini mumewe amechepuka mara kadhaa.

Watu walimshambulia sana wakimwita kila majina mabaya.

Nilisema kuwa sisi Watanzania hatuheshimu hisia
za wanawake...itafika siku wakiamka sisi wanaume tutateseka sana
 
Na huwa yanaanza hivyo hivyo kuchat kuchat then anafanya kweli. Na ni kwasababu tayari kuna doa. Ni kweli watanzania hatujali hisia za wanawake na hii ni kwa wote maana utashangaa hata wanawake wenzio wanakushangaa ambao ulitarajia waelewe hali unayopitia. Akiongelea mwanaume anaambiwa "achana nae huyo, wanawake wako wengi sana" na maneno ya kejeli na kuudhi mengi tu. Hilo bomu likilipuka ni hatari.
 
Back
Top Bottom